TUCTA yagomea kikokotoo cha asilimia 25

05Dec 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
TUCTA yagomea kikokotoo cha asilimia 25

Shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tanzania (Tucta), limesema halikubaliani na kikokotoo cha asilimia 25 na badala yake wanataka iwe asilimia 40, huku umri ikiwa ni miaka 15.5.

Rais wa Tucta, Tumaini Nyamuhokya.

Habari Kubwa