Vigogo watemwa Baraza la Mawaziri

06Dec 2020
Romana Mallya
Dar es Salaam
Nipashe Jumapili
Vigogo watemwa Baraza la Mawaziri

RAIS John Magufuli, jana alitangaza Baraza la Mawaziri 23 na manaibu wao huku baadhi ya vigogo waliokuwa katika baraza lililopita wakitemwa na sura mpya, wakiwamo vijana, zikichomoza.

Habari Kubwa