Vigogo zaidi upinzani wabwagwa

31Oct 2020
WAANDISHI WETU
Dar es Salaam
Nipashe
Vigogo zaidi upinzani wabwagwa

BAADA ya matokeo ya juzi kuonyesha vigogo wa upinzani kuangushwa katika majimbo mbalimbali nchini, matokeo yaliyotangazwa jana yalionyesha vigogo wengine wa upinzani kubwagwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Habari Kubwa