Waandishi wa habari wanusurika kifo gari kuingia mtaroni

03Jul 2020
Dotto Lameck
Kagera
Nipashe
Waandishi wa habari wanusurika kifo gari kuingia mtaroni

WAANDISHI wa habari wanne kutoka mkoani Geita wamenusurika kifo baada ya moja ya gari lililokuwa katika msafara wa Waziri wa Madini, Dotto Biteko, kupinduka na kutumbukia mtaroni katika kijiji cha Mrusagamba wilayani Ngara mkoani Kagera.

Habari Kubwa