Wahasibu vishoka TRA ufoji vitabu feki kukwamisha ukusanyaji kodi

20Mar 2019
Na Mwandishi Wetu
DAR ES SALAAM
Nipashe
Wahasibu vishoka TRA ufoji vitabu feki kukwamisha ukusanyaji kodi

Kamshna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere, amesema wapo wahasibu vishoka wanaoandaa hesabu na vitabu feki kwa ajili ya wafanyabiashara kuwawezesha kukwepa kodi.

Kamshna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere.