Wahitimu chuo cha TIA watakiwa kuona fursa kujiajiri

20Dec 2020
Na Mwandishi Wetu
DAR ES SALAAM
Nipashe Jumapili
Wahitimu chuo cha TIA watakiwa kuona fursa kujiajiri

Serikali haiwezi kutoa ajira kwa kila mtu na badala yake watu wajiajiri katika sekta binafsi na serikali itasaidia kuweka mazingira mazuri ya ajira hizo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James.

Kauli hiyo ameitoa jana wakati wa Maafali ya Chuo Cha Uhasibu (TIA) tawi la Dar es salaam na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James ambaye alikuwa mgeni rasmi.

Alisema nchi yoyote isiyo elimika haitapiga hatua kuzipata nchi zilizoelimika nyenzo moja wapo ni kuwa na jamii iliyielimika.

“Hiki tulichotoka kukishuhudia sasa hivi hapa ni Watanzania wenzetu waliopata fursa ya kutunikiwa elimu hii walio hitimisha leo (jana), hii kama taasisi ya serikali inayosomamiwa na Wizara ya Fedha ilikuwa ni wajibu wetu kuja kushuhudia hili.,” alisema na kuongeza kuwa;

“Tunajisifia kupata Watanzania wengi na hawa wa leo walio elimika (wahitimu), ili waende kuwa na tija katika shughuli zao kama mlivyosikia wapo ambao tayari ni waajiriwa wa serikali, waliokuja hapa kupata elimu zaidi, wapo ambao sio waajiriwa wa serikali tumetoa wasaa wakaangalie fursa za kujia

Habari Kubwa