"Waliojifaya vifutu, chini ya Rais Samia wakae mguu sawa"

04Apr 2021
Godfrey Mushi
KILIMANJARO
Nipashe Jumapili
"Waliojifaya vifutu, chini ya Rais Samia wakae mguu sawa"

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Frederick Shoo amesema wale wote waliokuwa wanajifanya vifutu, kwa sasa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakae mguu sawa, wakae tayari.

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Frederick Shoo.

Dk.Shoo ameyasema hayo leo Aprili 4,2021, wakati akimshukuru Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dk. Anna Mghwira kumaliza kutoa salaam za serikali, katika ibada ya sikukuu ya Pasaka iliyofanyika Kanisa Kuu la Usharika wa Moshi Mjini wa Dayosisi ya Kaskazini.

---------------------------------------------

UJUMBE WA PASAKA: KILA MMOJA AWE MJUMBE WA AMANI

Padri Lameck Paul Ndomba wa Kanisa la Mt. Paulo-Ukonga asisitiza umuhimu wa kutunza amani katika kipindi hiki cha Sikukuu ya Pasaka.

 

Habari Kubwa