Walioshinda kwa kura nyingi zaidi hawa hapa

31Oct 2020
Romana Mallya
Dar es Salaam
Nipashe
Walioshinda kwa kura nyingi zaidi hawa hapa

MATOKEO ya uchaguzi mkuu yametoka yakionyesha upinzani umepoteza karibu majimbo yote dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Wabunge wateule walioshinda kwa kura nyingi zinazoanzia 80,000 ni pamoja Saashisha Mafuwe wa Jimbo la Hai aliyepata kura 89,786 dhidi ya Freeman Mbowe (CHADEMA) aliyepigiwa kura 27,684.

Wengine ni Dk. John Palangyo wa Jimbo la Arumeru Mashariki aliyepata kura 84,858, akifuatwa na Rebeca Mngodo (CHADEMA) kura 14,688.

Wagombea wa CCM walioshinda kwa kura zilizoanzia 100,000 ni pamoja na Ummy Mwalimu katika Jimbo la Tanga Mjini aliyepata kura 114,445 akifuatwa na Mussa Mbarouk wa CUF aliyepigiwa kura 7,497.........kwa habari zaidi tembelea epaper.ippmedia.com

Habari Kubwa