Watahiniwa 2677 Manispaa ya Bukoba kufanya mitihani

14Nov 2021
Restuta Damian
BUKOBA
Nipashe Jumapili
Watahiniwa 2677 Manispaa ya Bukoba kufanya mitihani

WATAHINIWA 2677 wa kidato cha nne Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wanatarajiwa kufanya Mtihani wa kuhitimu elimu hiyo Novemba 15 mwaka huu.

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri hiyo ,Hamid Njovu amesema hayo Leo wakati akizungumza na Waandishi habari mjini humo.

Amesema, katikawatahiniwa hao  inaidadi ya wavulana 1292 , wasichana 1385 na vituo kufanyika mtihani37.

"Hivi vituo vipo kwa makundi matatu Kuna shule za serikali17 ,binafsi13na wale wa kujitegemea7(watu wazima)wote waneandaliwa kwa mujibu wa Sheria"amesema Njovu.

Habari Kubwa