Taarifa zilizotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Onesmo Lyanga, akati akithibitisha kuwepo kwa tukio hilo zinasema, watu hao wameuawa kwa kupigwa na kitu kibutu katika sehemu mbalimbali za miili yao
Kamanda Lyanga amesema Jeshi la Polisi bado linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo.