Watu wawili wafa jengo lililoporomoka Zanzibar

27Dec 2020
Rahma Suleiman
Zanzibar
Nipashe Jumapili
Watu wawili wafa jengo lililoporomoka Zanzibar

WATU wawili wamefariki dunia na wanne kujeruhiwa kutokana na kuporomoka kwa jengo la kihistoria, maarufu Beit al ajab.

Jengo hilo liliporomoka juzi mchana huko Forodhan mjini Unguja.

Akitoa taarifa ya ajali hiyo kwa waandishi wa habari jana, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Sera, Utaratibu na Baraza la Wawakilishi, Dk. Khalid Salum Muhammed, aliwataja waliofariki dunia kuwa ni Pande Makame Haji (25), mkazi wa Bububu, Unguja na Burhan Ali Makuno (35), mkazi wa Mtoni Kidatu mjini Unguja...soma zaidi kupitia https://epaper.ippmedia.com

Habari Kubwa