HABARI »

Waziri Mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh Kassim Majaliwa akikata utepe katika uwekaji wa jiwe la msingi kwenye Ujenzi wa Bandari inayojengwa Karema Wilayani Tanganyika Mkoani Katavi.

05Jul 2020
Neema Hussein
Nipashe

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, ameweka jiwe la msingi katika ujenzi wa bandari ya Karema iliyopo katika Kata ya Karema wilayani Tanganyika mkoani Katavi ambayo Serikali ilitenga kiasi cha Shilingi...

Abdul Nondo.

05Jul 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

MWENYEKITI wa Ngome ya Vijana wa Chama Cha ACT – Wazalendo, Abdul Nondo, ametangaza nia ya...

05Jul 2020
Dotto Lameck
Nipashe

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amewataka wamiliki wa ardhi wenye...

04Jul 2020
Mary Geofrey
Nipashe

RAIS John Magufuli amefanya uteuzi wa wakuu wa mikoa miwili, akimteua aliyekuwa Kamishna...

03Jul 2020
Dotto Lameck
Nipashe

WAANDISHI wa habari wanne kutoka mkoani Geita wamenusurika kifo baada ya moja ya gari lililokuwa...

03Jul 2020
Dotto Lameck
Nipashe

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro, ametoa onyo kwa watu wanaotegemea kufanya fujo...

03Jul 2020
Dotto Lameck
Nipashe

RAIS Dk John Magufuli, amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa wawili na Wakuu Wilaya tisa ni kutokana...

03Jul 2020
Dotto Lameck
Nipashe

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Pwani imempeleka Mahakamani Joseph Mwenda, kwa...

03Jul 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imemkatama aliyekuwa Meneja wa Bandari ya...

Pages