HABARI »

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kushoto) na Mwenyekiti wa Chama cha Benki nchini, Abdulmajid Nsekela, akikata utepe kuzindua kanuni mpya kwa benki jijini Dar es Salaam jana. Wengine ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa (kulia) na Gavana wa Benki Kuu, Prof. Florence Luoga.

20Sep 2019
Salome Kitomari
Nipashe

UMOJA wa wenye benki nchini, umesema kuwa sheria zisizo rafiki, matumizi mabaya ya zuio la mahakama na ukosefu wa vitambulisho vya Taifa ni kikwazo kikubwa katika utoaji wa huduma za kibenki na...

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Prof. Adolf Mkenda.

20Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

WIZARA ya Maliasili na Utalii, imesema sera ya misitu imekamilika, lakini baadhi ya wadau...

Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa.

20Sep 2019
Cynthia Mwilolezi
Nipashe

WAZIRI Mkuu, Kasim Majaliwa, ameliagiza Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi kutoka nchi 14...

19Sep 2019
Hellen Mwango
Nipashe

MWANDISHI wa Habari za Uchunguzi, Erick Kabendera anayekabiliwa na kesi ya Uhujumu Uchumi...

19Sep 2019
Hellen Mwango
Nipashe

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imemhukumu Meneja  wa Kampuni ya Fuel...

19Sep 2019
Faustine Feliciane
Nipashe

MAMLAKA ya hali ya hewa nchini (TMA) imesema imekuwa mstari wa mbele kutoa utaalam wao kwa nchi...

19Sep 2019
Hellen Mwango
Nipashe

RAIS wa zamani wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, amedai mahakamani...

19Sep 2019
Mary Geofrey
Nipashe

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) Tawi la Mloganzila, imefanya kambi maalum ya upasuaji wa...

19Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imesema inatarajia katika Uchaguzi Mkuu ujao, watendaji wake na...

Pages