HABARI »

Jaji mkuu wa Tanzania Prof Ibrahimu Juma, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Jengo la Mahakama kuu ya Kanda ya Shinyanga, na kuwataka Mahakimu kutenda haki wakati wa usikilizaji wa mashauri.

07Aug 2020
Marco Maduhu
Nipashe

Jaji Mkuu wa Tanzania Prof Ibrahimu Juma, amewataka Mahakimu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga, kutenda haki kwa wananchi wote bila ya ubaguzi wa kujali hali zao wakati wa usikilizaji...

wananchi waliojitokeza katika banda la Kasodefu kujipatia elimu ya sheria.

07Aug 2020
Happy Severine
Nipashe

Uelewa wa wananchi juu ya masuala ya sheria  Mkoani Simiyu umeongezeka kwa asilimia 66 na...

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Maji Mbeya (Mbeya UWASA), Edna Mwaigomole akimwongoza Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga (nyuma yake) alipofanya ziara ya kukagua utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli la ujenzi wa mradi wa maji wa Shongo Mbalizi, Wilayani Mbeya.

07Aug 2020
Mohamed Saif-MWAUWASA
Nipashe

Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa...

21Apr 2017
Rahma Suleiman
Nipashe

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, amesema hatma ya Zanzibar kuhusu janga...

21Apr 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe

KASI ya ongezeko la madeni ya walimu imeishtua serikali na kueleza kuwa kutokana na hali hiyo,...

21Apr 2017
Augusta Njoji
Nipashe

BUNGE limeelezwa kuwa Jumla ya watumishi 2,272 walipandishwa vyeo katika Wizara ya Elimu,...

21Apr 2017
Beatrice Shayo
Nipashe

SERIKALI imepanua wigo wa bima ya afya kwa kushirikisha sekta binafsi ili kupunguza pengo...

21Apr 2017
Augusta Njoji
Nipashe

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imeliambia Bunge kuwa haina mpango...

21Apr 2017
Salome Kitomari
Nipashe

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), limekusanya Sh. bilioni 90 kutoka kwa wadaiwa sugu...

Pages