HABARI »

Jaji mkuu wa Tanzania Prof Ibrahimu Juma, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Jengo la Mahakama kuu ya Kanda ya Shinyanga, na kuwataka Mahakimu kutenda haki wakati wa usikilizaji wa mashauri.

07Aug 2020
Marco Maduhu
Nipashe

Jaji Mkuu wa Tanzania Prof Ibrahimu Juma, amewataka Mahakimu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga, kutenda haki kwa wananchi wote bila ya ubaguzi wa kujali hali zao wakati wa usikilizaji...

wananchi waliojitokeza katika banda la Kasodefu kujipatia elimu ya sheria.

07Aug 2020
Happy Severine
Nipashe

Uelewa wa wananchi juu ya masuala ya sheria  Mkoani Simiyu umeongezeka kwa asilimia 66 na...

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Maji Mbeya (Mbeya UWASA), Edna Mwaigomole akimwongoza Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga (nyuma yake) alipofanya ziara ya kukagua utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli la ujenzi wa mradi wa maji wa Shongo Mbalizi, Wilayani Mbeya.

07Aug 2020
Mohamed Saif-MWAUWASA
Nipashe

Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa...

30Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

ADHA ya usafiri wa maji katika maeneo mbalimbali nchini, imeanza kupata suluhisho baada ya...

30Mar 2017
John Ngunge
Nipashe

MKUU wa Wilaya ya Mbulu, Chelestino Mofuga, ametoa siku tano kwa Ofisa Mtendaji wa Kata ya...

30Mar 2017
Daniel Mkate
Nipashe

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, amesema yeye na viongozi...

30Mar 2017
Godfrey Mushi
Nipashe

HOSPITALI ya Rufaa ya KCMC mjini Moshi imeeleza kusikitishwa na vitendo vya baadhi ya wanawake...

30Mar 2017
Augusta Njoji
Nipashe

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda jana alihojiwa kwa saa tatu mfululizo na Kamati ya...

30Mar 2017
Ahmed Makongo
Nipashe

MLEMAVU wa ngozi (albino), Naomi Joseph (34), mkazi wa kitongoji cha Senta, kijiji cha...

Pages