HABARI »

Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo Chadema mkoa wa Shinyanga Emmanuel Ntobi, akizungumza na waandishi wa habari, juu ya maamuzi ya baraza la uongozi mkoa ambapo limearidhia kumsimamisha ukatibu mwenezi wa jimbo la Shinyanga Charles Shigino kulia ni Katibu wa Chadema mkoa wa Shinyanga Zacharia Obad.

21Jan 2020
Marco Maduhu
Nipashe

CHAMA cha Chadema mkoani Shinyanga, kimemsimamisha Katibu Mwenezi wa chama hicho Charles Shigino, kutoendelea tena na nafasi hiyo kwa madai ya kukiuka katiba ya chama, na kuonyesha utovu wa...

21Jan 2020
Hellen Mwango
Nipashe

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imewataka Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na...

21Jan 2020
Rose Jacob
Nipashe

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoani Mwanza, imeokoa fedha kiasi cha  Sh. milioni 104...

22Jun 2016
Mary Geofrey
Nipashe

BAADA ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na mikoa ya jirani kuteseka kwa muda mrefu kubeba...

22Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

MAMLAKA ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), kesho inatarajia kuzindua...

22Jun 2016
Godfrey Mushi
Nipashe

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, Ernest Mangu, leo anatarajiwa kuwahutubia askari, maofisa na...

22Jun 2016
Hellen Mwango
Nipashe

MKURUGENZI wa Mashitaka nchini (DPP), ameiondoa mahakamani rufani aliyoikata dhidi ya mawaziri...

22Jun 2016
Hellen Mwango
Nipashe

LEONARD Kyaruzi, amefikishwa mahakamani akikabiliwa na mashtaka mawili likiwamo kuchepusha na...

22Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

MGOGORO mkubwa wa ardhi katika kijiji cha Chasimba, wilaya ya Kinondoni unaelekea kupata...

Pages