HABARI »

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi:PICHA NA WIZARA YA MAMBO YA NJE

24May 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

TANZANIA imeitaka dunia na Jumuiya za Kimataifa kutambua kuwa kauli ya Rais John Magufuli kuwahimiza Watanzania kusali na kuliombea Taifa kuondokana na maradhi ya Covid -19 haikuwa kauli ya...

Sheikhe wa msikiti wa Nughe Jijini Dodoma akitoa mawaidha leo mara baada ya swala ya eid el fitri ,swala hiyo huswaliwa baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani

24May 2020
Ibrahim Joseph
Nipashe

Waumini wa dini ya Kiislamu Nchini wametakiwa kuendeleza mema waliyokuwa wakiyafanya wakati wa...

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme katikati akishangilia baada ya kufungua jengo la mahakama ya
mwanzo Nakapanya Tunduru,

24May 2020
Gideon Mwakanosya
Nipashe

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme, amezindua jengo la Mahakama ya Mwanzo ya Nakapanya...

09Aug 2016
Steven William
Nipashe

WATU wawili wamekufa papo hapo na wengine saba kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria aina ya...

09Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, amewataka wananchi kulipa kodi akisema ndio dawa...

09Aug 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe

WAKATI Mamlaka ya Mapato (TRA) imepandisha makusanyo kutoka wastani wa Sh. bilioni 800 kwa mwezi...

09Aug 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe

WAKATI mchakato wa serikali kuhamia Dodoma ukiendelea, baadhi ya wataalam wa mambo ya kijamii...

09Aug 2016
Idda Mushi
Nipashe

WANANCHI wametakiwa kutumia tafiti zilizopo ili kuboresha kilimo kuwa cha kisasa na chenye tija...

09Aug 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe

SERIKALI imesema majina ya wanafunzi waliojiunga na vyuo vikuu bila kuwa na sifa yatatangazwa...

Pages