HABARI »

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme akifungua kikao maalum cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya Nyasa.

31May 2020
Gideon Mwakanosya
Nipashe

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameipongeza Halmashauri ya Nyasa kwa kuchangia kwa asilimia 100 mfuko wa wanawake,vijana na wenye ulemavu.

Mfamasia wa Halmashauri ya Jiji la Tanga, Ali Hamza akiwaelekeza washiriki wa semina hiyo jinsi ya kutengeneza vitakasa mikono.

31May 2020
Dotto Lameck
Nipashe

MFAMASIA wa Jiji la Tanga, Ali Hamza, amewataka watengenezaji wa vitakasa mikono jijini humo...

Muonekano wa Chuo cha VETA Nyasa kinachojengwa kijiji cha Ruhekei katika kata ya Kilosa.

31May 2020
Gideon Mwakanosya
Nipashe

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amekagua mradi wa chuo cha VETA Nyasa kinachojengwa...

29May 2020
Rahma Suleiman
Nipashe

Mkazi wa Meya Mjini Zanzibar, Abuu Khamis Ibrahim (40) ahukumiwa kifungo cha miaka 12 jela kwa...

29May 2020
Boniface Gideon
Nipashe

TAASISI ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Tanga imefanikiwa kuokoa kiasi cha...

29May 2020
Happy Severine
Nipashe

Halmashauri ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, imefanikiwa kukamilisha ujenzi wa kiwanda cha...

29May 2020
Marco Maduhu
Nipashe

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack, amewaonya maafisa Tarafa  mkoani humo, kutogeuza...

29May 2020
Neema Emmanuel
Nipashe

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella amechukiza na mwenendo wa mradi wa ujenzi wa Hospitali ya...

29May 2020
Neema Emmanuel
Nipashe

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella, ametoa siku 14 kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Misungwi...

Pages