HABARI »

Jaji mkuu wa Tanzania Prof Ibrahimu Juma, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Jengo la Mahakama kuu ya rufaa Kanda ya Shinyanga, na kuwataka Mahakimu kutenda haki wakati wa usikilizaji wa mashauri.

07Aug 2020
Marco Maduhu
Nipashe

Jaji Mkuu wa Tanzania Prof Ibrahimu Juma, amewataka Mahakimu wa Mahakama Kuu ya Rufani Tanzania Kanda ya Shinyanga, kutenda haki kwa wananchi wote bila ya ubaguzi wa kujali hali zao wakati wa...

wananchi waliojitokeza katika banda la Kasodefu kujipatia elimu ya sheria.

07Aug 2020
Happy Severine
Nipashe

Uelewa wa wananchi juu ya masuala ya sheria  Mkoani Simiyu umeongezeka kwa asilimia 66 na...

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Maji Mbeya (Mbeya UWASA), Edna Mwaigomole akimwongoza Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga (nyuma yake) alipofanya ziara ya kukagua utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli la ujenzi wa mradi wa maji wa Shongo Mbalizi, Wilayani Mbeya.

07Aug 2020
Mohamed Saif-MWAUWASA
Nipashe

Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa...

21Feb 2016
George Marato
Nipashe Jumapili

Manini Marwa, mkazi wa Kiabakari wilayani Butiama, anatuhumiwa kumtishia hakimu Erick Kimaro kwa...

21Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania waishio mabondeni kote nchini kuondoka wenyewe...

21Feb 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili

WAGOMBEA saba wa nafasi ya urais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa marudio wa Machi 20...

21Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT - Wazalendo),...

21Feb 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe Jumapili

BAADA ya kimya cha muda mrefu, Mchungaji mstaafu, Ambilikile Masapila (82) maarufu kama ‘Babu wa...

21Feb 2016
Frank Monyo
Nipashe Jumapili

BARAZA la watu wanaoishi na virusi vya ukimwi (Nacopha) limeitaadhalisha jamii kujilinda dhidi...

Pages