HABARI »

Waziri Mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh Kassim Majaliwa akikata utepe katika uwekaji wa jiwe la msingi kwenye Ujenzi wa Bandari inayojengwa Karema Wilayani Tanganyika Mkoani Katavi.

05Jul 2020
Neema Hussein
Nipashe

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, ameweka jiwe la msingi katika ujenzi wa bandari ya Karema iliyopo katika Kata ya Karema wilayani Tanganyika mkoani Katavi ambayo Serikali ilitenga kiasi cha Shilingi...

Abdul Nondo.

05Jul 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

MWENYEKITI wa Ngome ya Vijana wa Chama Cha ACT – Wazalendo, Abdul Nondo, ametangaza nia ya...

05Jul 2020
Dotto Lameck
Nipashe

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amewataka wamiliki wa ardhi wenye...

02Jul 2020
Augusta Njoji
Nipashe

WAZIRI wa fedha na mipango, Dk. Philip Mpango, amesema benki ya Dunia imetangaza kuwa Tanzania...

02Jul 2020
Neema Hussein
Nipashe

WAZIRI wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi, William Lukuvi, ameikabidhi halmashauri ya...

02Jul 2020
Marco Maduhu
Nipashe

VIONGOZI wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Shinyanga, wanashikiliwa na Taasisi ya...

02Jul 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

JUMUIYA ya Tumaini Jipya Pemba ‘Tujipe’ imesema rushwa muhali na mashahidi kutokwenda mahakamani...

02Jul 2020
Faustine Feliciane
Nipashe

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa tahadhari ya kuwapo kwa vipindi vya upepo mkali...

02Jul 2020
Ambrose Wantaigwa
Nipashe

SERIKALI wilayani Bunda, mkoani Mara imeanzisha msako wa watuhumiwa wa ubakaji na kuwapa...

Pages