HABARI »

Mmoja wa wakazi wa Kijiji cha Kashishi katika Halmashauri ya Wilaya ya
Mpimbwe, mkoani Katavi akitoa shukrani zake kwa Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa baada ya kukamilika Mradi wa Maji wa Kashishi na kuanza kunufaika na huduma ya majisafi na salama.

27May 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Wakazi wa Kijiji cha Kijiji cha Kashishi kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, mkoani Katavi wameishukuru Serikali kwa kutimiza ahadi ya kuwapatia huduma ya majisafi na salama haraka na...

Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa akiwa kwenye Mradi wa Maji wa Manga katika Wilaya ya Mpanda, mkoani Katavi pamoja na viongozi wa mkoa wa Katavi na wataalam wa Sekta ya Maji mkoani Katavi.

27May 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa amesisitiza umuhimu wa wataalam wa sekta ya maji...

wananchi kutoka katika kata nane Wilayani Bariadi wakiwa katika foleni ya kupatiwa matibabu bure toka kwa madaktari mbalimbali waliowasili katika shule ya msingi Ngulyati Wilayani humo.

27May 2019
Happy Severine
Nipashe

ZAIDI ya wakazi 4000 kutoka katika kata nane za Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu wamejitokeza kwa...

23May 2019
Salome Kitomari
Nipashe

WASTAAFU wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), wameendelea kusotea pensheni yao ya...

23May 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

MBUNGE wa Ulanga Mashariki, Goodluck Mlinga (CCM), amehoji bungeni sababu za serikali kuwajali...

23May 2019
Mary Geofrey
Nipashe

KATI ya wachangiaji wa damu 307,835, waliojitokeza kuchangia damu katika vituo mbalimbali nchini...

23May 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

RAIS mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, amesema kukosekana kwa umoja, utawala bora na...

23May 2019
Romana Mallya
Nipashe

MBUNGE wa Singida Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu,...

22May 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete leo amekabidhi misaada mbalimbali jimboni kwake ikiwamo...

Pages