HABARI »

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi, Briedia Jenerali, Wilbert Ibuge akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani leo jijini Dar es Salaam.

09Aug 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mkutano wa 40 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), unatarajiwa kufanyika tarehe 17 Agosti, 2020 kwa njia ya mtandao (video conference) Ikulu Chamwino...

wanachama wa chadema wakiwa katika moja ya mikutano yao. picha ya mtandao.

09Aug 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimemteua Asia Msangi kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo...

Dk Athuman Mahinda mhadhili chuo kikuu cha Dar es salaam akionyesha teknolojia waliyoibuni ya kufukuza wanyama waharibifu shambani.

09Aug 2020
Happy Severine
Nipashe

Chuo Kikuu Cha Dar es salaam (UDSM), kimekuja na teknolojia mpya ambazo zinalenga kuwanufaisha...

05Aug 2020
Hellen Mwango
Nipashe

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Mwigulu Nchemba, amezitaka taasisi za umma zinazokataa kutoa...

04Aug 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

WANANCHI wameliomba Shirika la Taifa la Nyumba (NHC) kuifikia mikoa mipya kwa lengo la kutatua...

04Aug 2020
Mary Geofrey
Nipashe

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, ametekeleza agizo la Rais John...

04Aug 2020
Hamisi Nasiri
Nipashe

JUMLA ya wawezeshaji 86 wa Mfuko wa Maendeleo ya jamii (TASAF) ngazi ya halmashauri,kutoka...

04Aug 2020
Happy Severine
Nipashe

Katika kuhakikisha teknologia mpya ya upandikizaji mbegu Ngo’mbe kwa njia ya mpira inawafikia...

04Aug 2020
Enock Charles
Nipashe

MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif amesisitiza umuhimu wa vyama vya upinzani...

Pages