HABARI »

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kushoto) na Mwenyekiti wa Chama cha Benki nchini, Abdulmajid Nsekela, akikata utepe kuzindua kanuni mpya kwa benki jijini Dar es Salaam jana. Wengine ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa (kulia) na Gavana wa Benki Kuu, Prof. Florence Luoga.

20Sep 2019
Salome Kitomari
Nipashe

UMOJA wa wenye benki nchini, umesema kuwa sheria zisizo rafiki, matumizi mabaya ya zuio la mahakama na ukosefu wa vitambulisho vya Taifa ni kikwazo kikubwa katika utoaji wa huduma za kibenki na...

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Prof. Adolf Mkenda.

20Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

WIZARA ya Maliasili na Utalii, imesema sera ya misitu imekamilika, lakini baadhi ya wadau...

Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa.

20Sep 2019
Cynthia Mwilolezi
Nipashe

WAZIRI Mkuu, Kasim Majaliwa, ameliagiza Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi kutoka nchi 14...

20Sep 2019
Mary Geofrey
Nipashe

IKIWA imesalia miezi mitatu kabla ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuzifungia laini za...

20Sep 2019
Gwamaka Alipipi
Nipashe

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo, imeahidi kuongeza ushirikiano wa kibiashara na vyombo vya...

20Sep 2019
Cynthia Mwilolezi
Nipashe

MKOA wa  Singida umeipongeza programu ya kuendeleza mifumo ya kimasoko ya kilimo nchini (AMDT)...

20Sep 2019
Mary Geofrey
Nipashe

SERIKALI imesaini mkataba wa ununuzi wa ndege nyingine mbili mpya na aina ya Airbus zitakazokuwa...

20Sep 2019
Idda Mushi
Nipashe

NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana, Anthony Mavunde, ameziagiza...

20Sep 2019
Renatha Msungu
Nipashe

SERIKALI imezitaka mamlaka zinazohusika na utoaji wa leseni kwa mazao yatokanayo na sekta ya...

Pages