HABARI »

Makamu wa rais wa klabu ya Simba, Godfrey Nyange maarufu kama Kaburu, akitolewa mahabusu kupelekwa mahakamani kusikiliza kesi inayomkabili, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana. PICHA: HALIMA KAMBI

26Apr 2018
Hellen Mwango
Nipashe

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imepiga kalenda kusikiliza maelezo ya awali ya kesi ya kughushi na kutakatisha Dola za Marekani 300,000 inayowakabili Rais wa Klabu ya Simba,...

Picha ya kuunganisha ikiwaonyesha wafanyabiashara maarufu nchini, James Rugemarila na Harbinder Seth Singh (kulia), wakirejeshwa mahabusu baada ya kutoka chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam jana kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi na kutakatisha fedha inayowakabili. Habari Uk. 4. PICHA: HALIMA KAMBI

26Apr 2018
Hellen Mwango
Nipashe

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imeutaka upande  wa Jamhuri kukamilisha upelelezi...

26Apr 2018
Godfrey Mushi
Nipashe

HATI ya upekuzi na ukamataji wa pikipiki aina ya King Lion nyeusi inayodaiwa kutumika kutekeleza...

25Apr 2018
Hellen Mwango
Nipashe

JAJI Mkuu Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amekitaka Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kuacha...

25Apr 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

MJADALA wa makadirio ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kwa mwaka ujao wa fedha, jana...

25Apr 2018
Romana Mallya
Nipashe

RAIS John Magufuli, ametaja changamoto tano ambazo ni kikwazo cha maendeleo ndani ya nchi za...

25Apr 2018
Augusta Njoji
Nipashe

SPIKA Job Ndugai amesema mawaziri hawafungwi mdomo kuzizungumzia hoja za Mdhibiti na Mkaguzi...

25Apr 2018
WAANDISHI WETU
Nipashe

WAZIRI wa Viwanda, Biashara na uwekezaji, Charles Mwijage, amesema ujenzi wa viwanda vidogo na...

25Apr 2018
Beatrice Shayo
Nipashe

NDEGE kubwa aina Airbus 380 ya Shirika la Ndege la Emirates iliyokuwa na abira 503 imetua nchini...

Pages