
Katuni

Aliyekuwa Paroko wa Parokia ya Manushi Jimbo Katoliki Moshi, Padre Erasmus Swai (kushoto), ambaye ni mtuhumiwa wa kesi ya kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha nne, akitoka katika Mahakama ya Wilaya ya Hai akiwa na wakili wake, Moses Mahuna, baada ya kesi yake kuahirishwa jana. PICHA: DANIEL SABUNI
ippmedia.com © 1998-. All rights reserved