KURASA - Tandale Muhalitani yalalamikia magari ya kuzoa taka

Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Tandale Muhalitani jijini Dar es salaam Bw. Sudi Yusuph Makamba ameeleza kusikitishwa kwake na baadhi ya wakandarasi wenye magari ya kuzoa taka katika eneo hilo kushindwa kuzoa taka hizo kwa wakati na hivyo kusababisha taka kukaa muda mrefu katika makazi ya watu.

Day n Time: 
Jumanne saa 11:55 jioni
Station: