KURASA - Wafanyabiashara eneo la Mwenge walalamikia uchafu uliokithiri

Wafanyabiashara katika eneo la Mwenge jijini Dar es salaam wamelalamikia kukithiri kwa uchafu katika eneo wanalofanyia biashara huku mifereji ya kupitisha maji ya mvua ikitumika kutiririsha maji yenye kinyesi na kutupa taka

Day n Time: 
Jumatatu saa 11:55 jioni
Station: