NDANI YA LETE RAHA LEO

07Feb 2016
Lete Raha
*Yanga yapanga kipigo cha kupandia ndege ya CAF *Simba wapewa mizuka mipya ya ubingwa
Yanga yenye pointi 40, itaivaa JKT kwenye Uwanja wa Taifa leo ikitokea kutoka sare ya 2-2 dhidi ya Prisons na kichapo cha 2-0 dhidi ya Coastal Union mjini Tanga na Pluijm anaona kwamba ni lazima...
07Feb 2016
Lete Raha
"Nimejutia makosa yangu na hiyo imebakia kama historia kwangu kwani nilikuwa napenda sana kujirusha, hivyo nilikuwa nakosa muda wa kutuliza akili na kuufanya mwili wangu uwe tayari kwa kazi kutokana...
03Feb 2016
Lete Raha
Lakini akasema kuwa njia pekee ya kumsaidia ili aweze kupata nafasi mbele ya Tambwe na Ngoma ni kufanya mazoezi binafsi nje ya ratiba ya kocha Hans van der Pluijm. Busungu ambaye msimu uliopita...
03Feb 2016
Lete Raha
Akiwa kwenye gari lake aina ya ‘Toyota Premio’ aligongwa na gari kubwa la mizigo ambalo linadaiwa kutokomea kusikojulikana, lakini straika huyo hakuumia mbali na gari hilo kuharibika...
03Feb 2016
Lete Raha
Samatta amemuunganisha na meneja wake Jamal Kisongo na meneja huyo akamuunganisha na wakala wa Ufaransa aitwaye Herve Faisal. Kisongo alisema, “Wakala ambaye ninashirikiana naye kumsimamia...
03Feb 2016
Lete Raha
Mkurugenzi wa michezo wa TP Mazembe, Frederic Kitengie, aliiambia Lete RAHA, “Tunapenda kuwapongeza wachezaji wa Kitanzania Haruna Chanongo na Abuu Ubwa kwa kufanikiwa kufuzu majaribio kwenye...
03Feb 2016
WAANDISHI WETU
Lete Raha
Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga, aliwasili jana Mbeya akifuatana Kamati ya Mashindano, chini ya Mwenyekiti Isaac Chanji, kwa lengo la kuhakikisha timu inapata hamasa na kushinda leo....

Haruna Niyonzima

24Jan 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Ilidai kuvunja mkataba na mchezaji huyo baada ya kuchelewa kurejea kwenye kikosi cha timu hiyo alipopewa ruhusa kwenda kuitumikia timu yake ya taifa ya Rwanda kwenye michuano ya Chalenji...

Shomari Kapombe (KATIKATI)

24Jan 2016
Lete Raha
Tathmini iliyofanywa na Lete RAHA inaonyesha kuwa beki wa kulia wa Azam, Shomari Kapombe, ndiye mchezaji aliyefanya vizuri katika nafasi yake huku pia akitisha katika ufungaji kama straika. Makipa...

Toto Africans ya Mwanza

24Jan 2016
Lete Raha
Katika mechi hiyo iliyopigwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza, Toto ilitawala vyema dakika za mwanzoni za kipindi cha kwanza na kupata mabao mawili kupitia kwa washambuliaji wao Miraji Athumani (...

Hamis Kiiza

24Jan 2016
Lete Raha
Ilikuwa ni mechi ya tatu mfululizo chini ya kocha mpya Jackson Mayanja na ushindi wa tatu mfululizo kwa Mganda huyo aliyerithi mikoba ya Muingereza Dylan Kerr aliyetimuliwa Msimbazi. Simba...

Haruna Niyonzima

24Jan 2016
Lete Raha
Licha ya uongozi wa klabu hiyo kupitia kwa aliyekuwa katibu, Jonas Tiboroha, kusema wazi kuwa wamemfukuza kiungo huyo, hali imebadilika kwani uliamua kutengua hali hiyo na kumrejesha kazini huku...

Haruna Niyonzima

24Jan 2016
Lete Raha
Licha ya uongozi wa klabu hiyo kupitia kwa aliyekuwa katibu, Jonas Tiboroha, kusema wazi kuwa wamemfukuza kiungo huyo, hali imebadilika kwani uliamua kutengua hali hiyo na kumrejesha kazini huku...

Yanga players cerebrating a goal

24Jan 2016
Lete Raha
Katika mechi hizo ambazo wamekusanya jumla ya pointi 21, Yanga wamefunga jumla ya mabao 16 bila ya wavu wao kuguswa. Mara ya mwisho Yanga kuruhusu goli ilikuwa ni katika sare ya 2-2 dhidi ya Mwadui...

kocha mkuu wa toto, Nicolas na msaidizi wake John Tegete

20Jan 2016
Lete Raha
Elimu hiyo inamfanya kipa huyo kuwa mchezaji wa kwanza kwenye Ligi Kuu kupata elimu ya Shahada ya Uzamili (Masters) huku akiwa bado anacheza. Licha ya kuwa katika Ligi Kuu waliwahi kutokea wachezaji...
20Jan 2016
Lete Raha
Pamoja na hilo, kwao daima huweka rekodi mpya na Jumapili iliyopita ilikuwa ni mara ya kwanza kwa wakali hao wote sita kufunga katika raundi moja ya ratiba ya ligi. Kufikia sasa, ilikuwa ni katika...

kocha wa Simba, Jackson Mayanja

20Jan 2016
Lete Raha
Chini ya utawala wake uliodumu kwa miezi sita Simba, Kerr hakuwa na kikosi cha kwanza, jambo lililochangia kufungashiwa mabegi yake. Katika kitu kinachoonekana kuwa tofauti kabisa na Muingereza...

Kocha wa Yanga, Hans van der Pluijm,kushoto

20Jan 2016
Lete Raha
Kocha wa Yanga, Hans van der Pluijm, amesema hataki kushuka tena kileleni hapo kwani amedhamiria kushinda mechi zote zinazofuata. Yanga itawavaa Majimaji kwenye Uwanja wa Taifa kesho na Mholanzi...

Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania, Dk. Mshindo Msola

20Jan 2016
Lete Raha
Msola alisema, “Paulsen ni kocha sahihi kwa timu ya vijana, alikuwa na mikakati mizuri, lakini TFF chini ya Rais wa zamani, Leodgar Tenga, ilichemka kumpa timu ya wakubwa ya taifa ‘Taifa Stars’...

Mbrazili Andrey Coutinho.

20Jan 2016
Lete Raha
Coutinho ambaye pia ni nahodha wa klabu hiyo ya Malaysia alisema, “Ningependa kurejea Tanzania, hasa kwenye klabu za Simba au Yanga na hii inatokana na jinsi mashabiki wa timu hizo walivyo....

Pages