NDANI YA LETE RAHA LEO

Ame Ali ‘Zungu’.

24Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Ame Ali amebakiza mwaka mmoja katika Mkataba wake Azam FC, lakini Simba SC imepeleka ofa ya kumchukua baada ya mazungumzo ya awali na uongozi wa timu ya Chamazi. Chanzo cha habari kutoka Simba SC...
24Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Bossou ambaye anatumikia adhabu ya kadi mbili za njano ni kati ya wachezaji watatu waliobaki Dar es Salaam, wengine wakiwa ni viungo Geoffrey Mwashiuya na Deus Kaseke ambao ni majeruhi. Lakini...
19Jun 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Sababu? Anasema kuwa amezalisha wachezaji bora wengi zaidi ya kocha wote na kwamba usajili wa nyota wengi kutoka Mtibwa unapaswa kumvika taji la kocha bora. Lakini umeshawahi kujiuliza ni...

Elizabeth Michael ‘Lulu’

19Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Alisema kuwa jina lake kwenye uigizaji limeshakuwa kubwa, hivyo ni muhimu awe makini na kazi anazoshirikishwa ili asijikute anashindwa kufikia malengo aliyojiwekea ya kuwa msanii wa kimataifa. "...
19Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Ombi hilo limetolewa na msanii nyota, Hisany Muya ‘Tino’, alipokuwa akizungumza jinsi anavyoliona soko la filamu jinsi lilivyo kwa sasa na hatima yake. Alisema kuwa filamu za nje zinaua soko la...

Rays C

19Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Aliyeotoa ombi hiyo mwigizaji wa filamu, Eshe Buheti baada ya kumuona Ray C akiwa katika hali mbaya maeneo ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam kabla ya kuchukuliwa na polisi. "Jamani tufanye kitu...
19Jun 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Naanza kujiuliza kama tena kuna Mtanzania anaweza kujiuliza kwa nini soka letu na hata michezo kwa ujumla haipigi hatua. Kwa nilichokuwa nakisikia, hata haihitaji elimu ya shule ya msingi kugundua...
19Jun 2016
Barnabas Maro
Lete Raha
Hii ni methali inayotufunza tusiwe na tabia ya kuahirisha mambo ambayo tunaweza kufanya sasa hadi wakati mwingine. Yatuhimiza tusifanye ajizi katika utendaji wetu. Kwa maana nyingine,...
12Jun 2016
Barnabas Maro
Lete Raha
Mohamed Dewji ambaye kuna wakati alikuwa mfadhili wa Simba, lakini akajiondoa. Kwa nini, usiniulize kwani lililopita hupishwa. Baadaye ‘alinunua’ timu inayoitwa mpaka leo African Lyon. Baadhi...
12Jun 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Azam imeomba kuanzia msimu ujao kuwe na wachezaji 10 wa kigeni. Inasema imeomba hivyo kutokana na tathmini waliyoifanya kwenye michuano ya kimataifa, na kugundua kuwa moja ya tatizo lililowafanya...

Abdul Kiba

12Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Kambi ya Wasafi na ya Kiba zinaonekana kuwa na uhasama mkubwa unaotokana mashabiki kujaribu kuwashindanisha Diamond na Ali Kiba, kaka wa Abdu. Lakini Abdu amesema anaweza kujiunga na lebo...

Hassan Mwasapili

12Jun 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Pia takwimu mbalimbali ilizonazo gazeti hili zinaonesha kuwa beki huyo wa pembeni amewafunika mabeki wengi akiwamo beki kisiki wa Azam, Pascal Wawa, ambaye alikuwa akitaja kati ya mabeki waliocheza...
12Jun 2016
Mhariri
Lete Raha
Pia timu hizio zitarudiana Julai 2, 2016 ugenini ili mshindi wa jumla kusonga mbele. Serengeti Boys itaingia kwenye mchezo huo ikitoka kwenye ziara ya India ambako walishiriki mashindano ya vijana...

Timu ya Stand United

12Jun 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Straika huyo wa zamani wa Oljoro JKT, Mbeya City na Mwadui ameweka wazi kuwa nia yake ni kucheza na kwamba mpaka sasa mazungumzo kati ya klabu yake na klabu yake na Stand yanakaribia kufika ukingoni...

Benno Kakolanya

12Jun 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Akizungumza na Lete Raha jana, Kakolanya alisema kwamba anataka watu wafahamu kuwa hajaingia kugombea namba dhidi ya makipa hao. “Hawa ni makipa bora ambao ninahitaji kujifunza mengi kutoka kwao....

Issoufou Boubacar Garba

12Jun 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Na Pluijm amempandisha mchezaji huyo kuchukua nafasi ya kiungo kutoka Niger, Issoufou Boubacar Garba, aliyepewa barua ya kuvunjiwa mkataba mapema wiki hii. Pluijm alianza taratibu kumtumia Mhilu...

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe

12Jun 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Semwanza ni kati ya mabeki waliofanya vizuri msimu ulioamlizika Mei wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara ambaye alikuwa anawaniwa pia na Mbeya City. Beki huyo aliwadhibiti vizuri washambuliaji wa...

Juma Abdul (kulia) akiteta na Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm (kushoto)

12Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Mchezo huo wa Kundi A utafanyika Uwanja wa Unite Maghrebine mjini Bejaia, Algeria na Yanga itawasili nchini humo siku mbili kabla ya mechi. Abdul aliumia kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la...

Profesa Juma Kapuya akisalimia wachezaji wa Simba kabla ya pambano lao na Lengthens ya Zimbabwe katika Uwanja wa Uhuru mwaka 2010.

12Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Akizungumza na Lete Raha jana mjini Dar es Salaam, Kapuya amesema kwamba ni kweli kwa sasa Simba inazidiwa uwezo kiuchumi na Azam na Yanga, lakini hiyo haiwezi kuwa sababu ya kutopata wachezaji...

Juma Abdul (kulia) akiteta na Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm (kushoto)

12Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Mchezo huo wa Kundi A utafanyika Uwanja wa Unite Maghrebine mjini Bejaia, Algeria na Yanga itawasili nchini humo siku mbili kabla ya mechi. Abdul aliumia kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la...

Pages