NDANI YA LETE RAHA LEO

Victor Wanyama

01Jun 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Mkwasa aliwataja nyota hao kuwa ni kiungo wa Southampton ya Uingereza, Victor Wanyama, na beki wa Zesco ya Zambia, David Owino ‘Calabar’, ambaye alikuwa atue Simba msimu uliopita. Katika mechi ya...

Mrisho Mpoto

01Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Nay alisema kuwa Mpoto anafikiria na kuumiza kichwa anapoandaa kazi zake na anatumia akili nyingi, ndiyo maana yeye (Nay) akajiwa na fikra itakuwaje msanii huyo akiamua kuingia rap. "Labda Fid Q...

Godfrey Tumaini 'Dudubaya'

01Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Amesema inashangaza kuona wasanii wanakubali kutumia gharama kubwa kwenda kufanya kazi nje na kuwaacha wataalam wa hapa nchini, ambao ni wazuri na huenda kuzidi hao wa nje. "Wanachokifanya wasanii...

Linah Sanga

01Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Msanii huyo alisema kuwa kutopata mtoto mapema haina maana kwamba ana matatizo yoyote ya uzazi bali ni malengo tu ambayo amejiwekea katika maisha yake. Linah amekiambia kituo kimoja cha redio kuwa...

Amissi Tambwe

01Jun 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Akafunga magoli matatu kwenye mechi moja ('hat-trick') mara mbili katika msimu mmoja. Haikuwa lolote kwa baadhi ya viongozi wa Simba ambao waliona kama vile alibahatisha.Nadhani hata baadhi...

MEXIME

01Jun 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Mexime anatarajiwa kuchukua mikoba ya Adolph Rishard ambaye amekalia 'kuti kavu' ndani ya timu hiyo. Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana jijini, tayari mazungumzo ya awali na Mexime...
01Jun 2016
Mhariri
Lete Raha
Hiyo inafuatia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wiki iliyopita kuingia Mkataba wenye thamani ya Sh. Bilioni 1 na kampuni ya Azam Media Limited kwa ajili ya michuano hiyo. Azam TV imenunua haki...
01Jun 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Yanga watatakiwa ‘kuvunja benki' ili kumnasa mshambuliaji wa kimataifa wa Azam FC, Kipre Tchetche, wanayemuwania. Straika huyo raia wa Ivory Coast bado ana mkataba wa mwaka mmoja na klabu...

NAHODHA wa Simba, Mussa Hassan 'Mgosi

25May 2016
Renatha Msungu
Lete Raha
Mgosi aliyasema hayo wakati akizungumza na gazeti hili, kuhusiana na timu yao kuporomoka hadi nafasi ya tatu badala ya pili. Alisema hilo lisiwakatishe tamaa bali wanapaswa kuwa kitu kimoja na...

kocha wa Taifa Stars, Boniface Mkwasa

25May 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Akizungumza na gazeti hili jana, kocha wa Taifa Stars, Boniface Mkwasa alisema kuwa kikosi hicho kilitarajia kuanza mazoezi jana jioni kwa ajili ya kuanza maandalizi ya mchezo huo unaotambuliwa na...

Azam FC

25May 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Mshindi wa mechi hiyo atafuzu kucheza mashindano ya Kombe la Shirikisho (CAF) mwakani na hata Azam FC wakifungwa, tayari watafuzu kushiriki michuano hiyo ya kimataifa kwa sababu Yanga ambao ni...

Zacharia Hans Poppe

25May 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Poppe, kKapteni wa zamani wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), alisema kwamba orodha hiyo itawasilishwa kwa Kamati ya Usajili na kujadiliwa ili kupata orodha fupi ya wachezaji wa kusajiliwa. Hata...

kikosi cha yanga kikifanya mazoezi

25May 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Kundi B linaundwa na timu za Kaskazini mwa Afrika tupu ambazo ni Etoile du Sahel ya Tunisia ambao ni mabingwa watetezi, Ahly Tripoli ya Libya, FUS Rabat na Kawkab zote za Morocco. Mechi za...

Aveva

18May 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jana kwenye hoteli ya Collessium, barabara ya Nyerere, Dar es Salaam, Aveva alisema wachezaji hao walifanya vitendo ambavyo vimewaondolea uaminifu...

Aveva

18May 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jana kwenye hoteli ya Collessium, barabara ya Nyerere, Dar es Salaam, Aveva alisema wachezaji hao walifanya vitendo ambavyo vimewaondolea uaminifu...
18May 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Yanga iliwasili Dundo usiku wa jana baada ya safari ya kutwa nzima wakipitia Luanda, ambako waliunganisha ndege nyingine kwa saa mbili kwenda mji wa Dundo ambako ni maskani ya Sagrada Esperanca....
15May 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Mgeni rasmi katika mchezo huo Waziri wa Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, Mwigulu Nchemba (MB) ambaye pia ni shabiki mkubwa wa mabingwa hao waliotetea ubingwa wao baada ya kuunyakua msimu uliopita ingawa ni...

Amissi Tambwe.

15May 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Tambwe ambaye kabla ya jana alikuwa akiongoza kwenye ufungaji wa mabao Ligi Kuu akiwa na magoli 21, alisema Yanga ilijiwekea malengo ya kutwaa ubingwa kwa idadi kubwa ya mabao hivyo kama straika...

kocha wa mwadui fc, jamhuri kihwelo.

15May 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Julio alisema kuwa baada ya kuona mapungufu kwenye kikosi chake kwa msimu huu, amepanga kuboresha baadhi ya maeneo kwa kuwasajili wachezaji saba wapya. “Nina mpango wa kuwasajili Atupele, Maguli...

Farid Mussa Malik.

15May 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Akizungumza baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) juzi jioni, Garcia alisema kwamba amemshuhudia Farid katika majaribio yake klabu ya Deportivo Tenerife nchini...

Pages