NDANI YA LETE RAHA LEO

MGOSI

24Apr 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Mgosi alisema kuwa hataki kuingia kwenye vita ya maneno, lakini akadai wingi wa mechi mfululizo waliopitia Yanga unaweza kuwachosha na kuwafungulia njia ya ubingwa Simba. “Ni ngumu kucheza...

kikosi cha yanga

24Apr 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
.LEO WANA SHUGHULI NA WAGOSI WA NDIMA MKWAKWANI, PLUIJM ASEMA…
Mashabiki hao wanakuja kuisapoti timu yao katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya wenyeji, Coastal Union...

Gareth Bale

20Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
jana kuwa atakosa mechi ya leo la La Liga dhidi ya Villarreal kutokana na majeraha ya misul;i. Winga huyo wa kimataifa wa Wales alifunga gol lake la 16 katika La Liga msimu huu katika ushindi...

Farid Mussa

20Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Tunisia kwenda Hispania kwa ajili ya majaribio ya kucheza soka ya kulipwa katika moja ya klabu mbili za La Ligalakini hofu imeingia baada ya mchezaji huyo kupata majeraha. Kocha wa Azam, Stewart...

serengeti boys

20Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
yatakayozishirikisha nchi za Marekani, Malasyia na Korea Kusini na wenyeji mapema mwezi Mei, 2016. Chama cha Soka nchini India (AIFF) kimeandaa mashindano ya vijana wenye umri chini ya miaka...

rafael alpha

20Apr 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Amesema anashangaa wakati wote orodha ya wafungaji wa mabao mengi wa Ligi Kuu inapotolewa jina lake limekuwa haliorodheshwi hata kwenye tovuti ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)."Mimi...

kikosi cha coastal union

20Apr 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Coastal watamenyana na Yanga Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga Aprili 24, mwaka huu, siku ambayo Azam FC itamenyana na Mwadui FC kwenye Uwanja wa Mwadui Complex, Shinyanga katika Nusu Fainali nyingine...

Julio

20Apr 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Jamhuri, maarufu kwa jina la utani Julio amesema kwamba hiyo inatokana na yeye na timu yake kujiamini watatwaa ubingwa wa TFF, maarufu kama Kombe la Azam Sports Federations Cup (ASFC) 2016 hivyo...

Mohammed Dewji

20Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Mo Dewji, mfadhili wa zamani wa Simba anataka kurudi, lakini kwa staili nyingine, ambayo kidogo imewapa kigugumizi viongozi wa timu hiyo. Mara ya mwisho, Mo aliwapa Simba hadi Desemba 31 kuwa...

yanga

20Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
MACHO na masikio ya Watanzania wengi leo yanaelekezwa kwenye Uwanja wa Borg El Arab mjini Alexandria, Misri ambako Yanga itakuwa ikimenyana na wapinzani wao wa kihistoria kwenye michuano ya...

snura mushi

17Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
NYOTA wa kibao cha 'Chura', Snura Mushi, amebamba katika mitandao ya kijamii kufuatia video zake za 'hatari' zinazoonyesha kinadada wenye maumbo yaliyojazia wakicheza kukata 'mauno' kwa pozi la...

baraka prince

17Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Alisema kuwa tayari amejifunga na hatarajii kubadili msimamo wake kwa Najma, kwa madai kwamba ameona ndiye anayefaa kuwa mke wa kuoa kuliko hao waliokuwa wakijitangazia ufalme. "Nimejipa...

kikosi cha madrid

17Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Mabingwa mara 10 wa Ulaya wamepangwa kuikabili klabu hiyo ya Ligi Kuu ya England katika droo ya nusu-fainali iliyopigwa juzi Ijumaa, huku mechi ya marudiano ikipigwa kwenye Uwanja wa Santiago...

drogba

17Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Mfuko huo unaokwenda kwa jina la Didier Drogba Foundation – ambao unapata sapoti ya David Beckham na Princess Beatrice – umekuwa ukidai kuwasaidia maelfu ya wanafunzi wa Ivory Coast kupata ‘mahitaji...

kikosi cha wachezaji wa Simba

17Apr 2016
Renatha Msungu
Lete Raha
Moja; Simba SC inamenyana na Toto Africans leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ikiwa inahitaji pointi ili kujiweka sawa katika mbio za ubingwa. Mbili; Imekwishaanza kuaminika Toto ni timu kiboko...

Kiungo wa yanga, Haruna Niyonzima akimpiga chenga kiungo wa Mtibwa Sugar, Muzamiru Yassin.

17Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Lete Raha
Mashabiki wa Yanga wanatembea tena kifua mbele pembe zote, baada ya timu yao jana kurejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar ya Morogoro...

KR (katikati) akiwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete (kushoto).

13Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Msanii huyo aliiambia East Africa Radio kwenye kipindi cha Planet Bongo kuwa ameingia Radar Entertainment na kuachana na Wanaume Halisi, lakini anaonekana kumkwaza Nature. “Nilikuwapo ndani ya...

Ali Kiba

13Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Alisema kuwa wasanii wa hapa nchini wakiwamo wa muziki wa kizazi kipya na filamu wanaweza kufanya makubwa, lakini pamoja na uwezo huo bado kuna umuhimu wa kuwapo kwa nguvu ya serikali. "Kuna mengi...

Hafsa Kazinja

13Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Lete Raha
Alisema kuwa alikuwa miongoni mwa wasanii walioshiriki katika kampeni hizo kwa upande wa CCM na kulazimika kuahirisha masomo na sasa anajipanga kuendelea. "Ilikuwa nimaliziea masomo ya sekondari...

Jamal Malinzi

13Apr 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Kagera inaituhumu TFF kuiwekea mazingira magumu ya kufanikiwa kwenye Ligi Kuu ya Bara kwa kuilazimisha icheze kwenye viwanja vya ugenini mechi zote za msimu kutokana na uwanja wao wa nyumbani wa...

Pages