NDANI YA LETE RAHA LEO

beki Kelvin Yondani.

03Apr 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Kikosi cha kwanza cha Yanga kinavaana na Al Ahly kikiwa na beki Kelvin Yondani pekee mwenye uelewa wa presha na ugumu wa mechi hiyo dhidi ya mabingwa hao wa kihistoria wa Ligi ya Mabingwa Afrika....

straika Elias Maguli.

03Apr 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Klabu ya Stand United inajadili hatua za kumchukulia straika huyo ikiwemo ile ya kumsimamisha huku wakiwa tayari wamesema kuwa hawatamuongezea mkataba baada ya msimu kumalizika. Straika huyo...
03Apr 2016
Mhariri
Lete Raha
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata gari tano za TFF kutokana na deni la kodi la Sh. Bilioni 1 Milioni 118 ambazo ni malimbikizo tangu mwaka 2010, wakati shirikisho hilo likiwa chini ya Rais...

Paul Nonga, akimlamba chenga beki wa Friends Rangers.

03Apr 2016
Lete Raha
Nonga alisema Ndanda walikuja kwa lengo la kuhakikisha wanaifunga Yanga, lakini walijikuta wakitoka vichwa chini kutokana na kupoteza nafasi. Akizungumza na gazeti hili mara baada ya mchezo huo,...

KOCHA wa Ndanda FC Meja mstaafu Abdul Mingange

03Apr 2016
Lete Raha
Kauli ya Mingange imekuja baada ya mchezaji wake Paul Ngalema kumchezea rafu mbaya Simon Msuva wakati akijiandaa kwenda kufunga bao katika michuano ya kufuzu robo fainali ya mashindano hayo....

Serengeti Boys.

03Apr 2016
Lete Raha
Mechi hiyo iliokuwa ikichezeshwa na mwamuzi wa mwenye beji ya FIFA Israel Nkongo Serengeti Boys ilianza kupata bao dakika ya 15,kupitia mchezaji Cyprian Benedicto aliyeachia shuti kali...

Mbwana Ally Samatta.

03Apr 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
RSC Anderlecht yenye mshambuliaji hatari Muargentina, Matías EzequielSuarez, itaingia kwenye mechi hiyo ikiwa na kumbukumbu mbaya ya kufungwa kwenye Uwanja wake huo wa nyumbani 1-0 Shakhtar Donetsk...

Mussa Hassan Mgosi.

03Apr 2016
Lete Raha
Simba iko mjini Dar es Salaam,chini ya kocha Mayanja ikiendelea na mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mechi ya kuwania kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la TFF, kama Azam Sports...

Mashabiki wa Yanga wakishangilia jukwaani uwanja wa Taifa Dar es salaam.

03Apr 2016
Lete Raha
.TFF waufyata mkia wenyewe, chezea!, .Warudisha kiporo chao kwenye friji, .Sasa ni kazi na Waarabu tu Jumamosi
Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limekubali kuisogeza mbele mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya mabingwa watetezi, Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar iliokuwa ichezwe Jumatano (Aprili 6,...

Mtibwa Sugar.

23Mar 2016
Lete Raha
Hata hivyo, mechi hizo si kitu kwa timu hiyo kwani kocha, Mecky Maxime, amedai haziogopi timu hizo kama ambavyo anazihofia timu zilizopo chini kwenye msimamo wa Ligi Kuu. Mtibwa...

klabu ya Majimaji ya Songea.

23Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Katika tuhuma walizotoa, viongozi wa Mbeya City wamedai kuwa vurugu hizo zilisababisha mashabiki wa timu ya Majimaji kuvunja kioo cha gari la timu hiyo ya Mbeya. Akizungumzia tuhuma hizo...

Dieumerci Mbokani.

23Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Straika huyo wa Dynamo Kiev, ambaye yuko kwa mkopo katika klabu hiyo ya Ligi Kuu ya England, lakini ametumia muda wake nchini Ubelgiji katika klabu ya Standard Liege na Anderlecht, anasemekana "...

kipre tchetche.

23Mar 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Ameweka rekodi ya kufunga 'hat-trick' ya kwanza kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho kwa mwaka huu akiisaidia timu yake ya Azam kuichapa Bidvest Wits ya Afrika Kusini mabao 4-3. Huyu ni kiungo...
23Mar 2016
Mhariri
Lete Raha
Yanga walianza kuwatoa APR ya Rwanda katika Ligi ya Mabingwa Afrika Jumamosi baada ya sare ya 1-1 wakitoka kushinda 2-1 ugenini mjini Kigali wiki iliyotangulia na Azam FC wakafuatia Jumapili kwa...

Mbwana Samatta na Tomas ulimwengu wakishangilia moja ya goli katika mchezo wao.

23Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Samatta, mshambuliaji wa klabu ya Genk ya Ubelgiji, anatarajia kuanza kwenye mchezo leo utakaopigwa majira ya saa 11:30 kwa saa za Tanzania kwenye Uwanja wa Idriss Mahamat Ouya jijini N’Djamena....

Abdi Banda.

23Mar 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Lakini taarifa za ndani zinaonyesha kuwa beki huyo "amewatumbuka nyongo" Simba tangu alipotolewa kwa kadi nyekundu kwenye mechi ambayo Yanga iliishinda Simba 2-0 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es...

kikosi cha yanga.

23Mar 2016
Lete Raha
Habari za kiuchunguzi zinaonyesha kuwa mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara walitumia saa mbili na dakika 10 (dakika 130) kujadili jinsi watakavyoifunga Al Ahly kwenye hatua ya raundi ya pili ya...
16Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Akizungumza na gazeti hili jana, Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Pwani, Hassan Othman 'Hassanoo' alisema kwamba wamekutaka na kupanga mikakati mbalimbali ya kuhakikisha timu hiyo inafanya...

Jamal Malinzi

16Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Akizungumza katika hotuba yake mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu, Rais wa TFF, Jamal Malinzi, alisema kuwa lengo la 'kuwabana' makocha hao ni kutaka kuona klabu za ligi kuu zinaongozwa na makocha...

Nadir Haroub Canavaro

16Mar 2016
Lete Raha
Akizungumza na gazeti hili jana, Canavaro alisema kurejea katika kikosi chake, kutatokana na taarifa ya madaktari kutoka India ambao wanaendelea kumpa mazoezi na matibabu katika kliniki ya Nandal...

Pages