Anayedaiwa kuwabaka watoto wake kizimbani tena 

29Jun 2017
Cynthia Mwilolezi
Arusha
Nipashe
Anayedaiwa kuwabaka watoto wake kizimbani tena 

BABA mzazi anayedaiwa kuwabaka na kuwanajisi binti zake, Japhet Legimani (38), amepandishwa kwa mara pili kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Arumeru, kujibu shtaka la kuwabaka watoto wake wa darasa la sita na kidato cha kwanza.