MAKALA »

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa, akipanda mchikichi kama ishara ya uzinduzi wa kituo cha uzalishaji na usambazaji wa mbegu bora za zao hilo aina ya TENERA, kilichopo TARI Naliendele mkoani humo, kwa ajili ya wakulima wa mikoa ya kanda ya Kusini ya Lindi, Mtwara, na Ruvuma. Wengine ni wakurugenzi wa TARI kutoka kanda mbalimbali nchini. PICHA: GERALD KITABU

*Yazindua mbegu bora za michikichi
22Feb 2020
Gerald Kitabu
Nipashe

TAASISI ya Utafiti wa Kilimo nchini (TARI), imezindua kanda za uzalishaji na usambazaji mbegu bora za michikichi nchi nzima, aina ya TENERA...

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima aliyeandaa kongamano hilo.

*Wadau 500 kuchambua mbinu kupandisha ufaulu
22Feb 2020
Sabato Kasika
Nipashe

MKOA wa Mara unatarajia kufanya kongamano lenye lengo la kuongeza ufaulu katika shule za msingi...

22Feb 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

RAIS wa Burundi, Pierre Nkurunziza, mwaka huu anang’atuka na kumpisha kiongozi mwingine ambaye...

13Feb 2020
Yasmine Protace
Nipashe

UKEKETAJI una madhara na hilo halina ubishi. Unamwathiri kisaikolojia na kama ni mwanafunzi,...

13Feb 2020
Nimi Mweta
Nipashe

UTAALAMU wa hisabati ya magonjwa ya mlipuko (epidemiology) uko katika mtihani mgumu kwa...

13Feb 2020
Beatrice Philemon
Nipashe

Swali: Unapozungumzia ugonjwa wa Minyoo ya Tumbo, kwa lugha ya kawaida kabisa, maana yake ni...

12Feb 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

JANA ilikuwa siku ya kumbukumbu ya miaka 30 tangu Rais wa Afrika Kusini, Nelson Mandela,...

12Feb 2020
Sabato Kasika
Nipashe

WIKi moja kamili iliyopita, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilitimiza miaka 43 tangu kilipozaliwa,...

12Feb 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

WAKATI nchi ikiwa katika maandalizi ya kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na...

Pages