MAKALA »

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa, akipanda mchikichi kama ishara ya uzinduzi wa kituo cha uzalishaji na usambazaji wa mbegu bora za zao hilo aina ya TENERA, kilichopo TARI Naliendele mkoani humo, kwa ajili ya wakulima wa mikoa ya kanda ya Kusini ya Lindi, Mtwara, na Ruvuma. Wengine ni wakurugenzi wa TARI kutoka kanda mbalimbali nchini. PICHA: GERALD KITABU

*Yazindua mbegu bora za michikichi
22Feb 2020
Gerald Kitabu
Nipashe

TAASISI ya Utafiti wa Kilimo nchini (TARI), imezindua kanda za uzalishaji na usambazaji mbegu bora za michikichi nchi nzima, aina ya TENERA...

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima aliyeandaa kongamano hilo.

*Wadau 500 kuchambua mbinu kupandisha ufaulu
22Feb 2020
Sabato Kasika
Nipashe

MKOA wa Mara unatarajia kufanya kongamano lenye lengo la kuongeza ufaulu katika shule za msingi...

22Feb 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

RAIS wa Burundi, Pierre Nkurunziza, mwaka huu anang’atuka na kumpisha kiongozi mwingine ambaye...

14May 2016
Gaudensia Mngumi
Nipashe

KILA siku kuna habari mbaya za ukatili wa kijinsia kama ilivyosikika kutoka bungeni, wiki...

13May 2016
Denis Maringo
Nipashe

SEKTA ya gesi ni moja ya zile zinazokua kwa kasi zaidi na inayotabiriwa kuleta mapinduzi ya...

13May 2016
Crispin Gerald
Nipashe

Mojawapo ya kero katika mikoa mingi nchini, ni ukosefu wa mipango miji, hali inayochangia makazi...

13May 2016
Leonce Zimbandu
Nipashe

BAADA ya kudidimia kwa zaidi ya miongo mitatu, zao la mkonge linafufuka tena sokoni na kuvutia...

13May 2016
Rahma Suleiman
Nipashe

KILIO cha muda mrefu kwa wakulima wa zao la la mwani Zanzibar, ni bei ndogo ya bidhaa hiyo...

12May 2016
Peter Orwa
Nipashe

Kuna dhana mahsusi inayotafsiri mahitaji ya ushiriki wa sayansi kwa wanafunzi wa sasa kuwa ni...

Pages