MICHEZO & BURUDANI »

Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji wa Kampuni ya SportPesa, Abbas Tarimba (kulia), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma jana, kuhusu ujio wa Klabu ya Sevilla ya Hispania nchini. Katikati ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, akiwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Khamis Kigwangalla. Habari UK. 32. PICHA: SPORTPESA

18Apr 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

KATIKA kuhakikisha inazidi kutoa mchango mkubwa kwa soka la Tanzania kukua, Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya SportPesa kwa kushirikiana na La Liga imetangaza kuileta nchini Klabu ya Sevilla ya...

18Apr 2019
Somoe Ng'itu
Nipashe

MABAO mawili yaliyofungwa na Meddie Kagere yamemfanya kukaa kileleni mwa orodha ya...

Meneja wa Bia ya Castle Lager, Pamela Kikuli (katikati), Meneja Udhamini wa Kampuni ya Bia (TBL), David Tarimo (kulia) na Balozi wa Castle Lager Africa nchini Tanzania, Ivo Mapunda wakionyesha zawadi za washindi wa Bonanza la Wanawake mara baada ya mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es Salaam jana. Bonanza hilo linatarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki katika Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam. MPIGAPICHA WETU

17Apr 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) kupitia Bia yake ya Castle Lager, imetangaza fainali za...

182019
Somoe Ng'itu
Nipashe

MABAO mawili yaliyofungwa na Meddie Kagere yamemfanya kukaa kileleni mwa orodha ya...

172019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) kupitia Bia yake ya Castle Lager, imetangaza fainali za...

172019
Somoe Ng'itu
Nipashe

VIGOGO wa soka Tanzania, Simba na Yanga zote za jijini Dar es Salaam, zinatarajia...

172019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

ZAMU yetu leo! Hiyo ni kauli kutoka kikosi cha Timu ya Soka ya Taifa ya Vijana ya umri...

172019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

NAHODHA wa Timu ya Taifa ya Kenya ‘Harambee Stars’ na kiungo kisiki wa Tottenham...

162019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

GOLIKIPA wa Manchester United, David de Gea, amewaonya 'Mashetani Wekundu' hao...

Pages