MICHEZO & BURUDANI »

Mshindi wa jumla katika mashindano ya Johnnie Walker Waitara Trophy Khalid Shemndolwa (wa kwanza kushoto) akikabidhiwa zawadi ya vikombe baada ya kuibuka mshindi. Wa kwanza kulia ni mwakilishi kutoka Resolution Insurance akifuatiwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama General Vanance Mabeyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Faraji Mnyepe, na Mkuu wa Majeshi wa Malawi Generali Vincent Nundwe
Mashindano ya Gofu ya Johnnie Walker Trophy 2020 yamehitimishwa jijini Dar es Salaam kwa washindi kukabidhiwa zawadi mbali mbali.
KIKOSI cha wachezaji wa Simba kinaanza mazoezi kesho Jumamosi kujiandaa na hatua ya...
KOCHA Msaidizi wa Klabu ya Yanga, Juma Mwambusi, ameomba kukaa kando kwa muda ndani ya...
UONGOZI wa Mbeya City ya jijini Mbeya umesema hatima ya Kocha Mkuu, Mmalawi Kinnah...
SHIRIKISHO la Ngumi za kulipwa nchini (TPBC) limewaagiza mapromota wa ngumi za kulipwa...
KIPA wa Azam FC, Aishi Manula, amesema kuwa ameumia sana kuona timu yake imetolewa...
BAADA ya timu yake kufanikiwa kutinga hatua ya fainali ya mashindano ya Kombe la FA ,...
MATUMAINI ya Simba na Yanga kushiriki michuano ya kimataifa mwakani yapo shakani baada...
TUNAITAKA Yanga fainali! Kauli hiyo ni kutoka kwa baadhi ya mashabiki wa Simba...