MICHEZO & BURUDANI »

Mshindi wa jumla katika mashindano ya Johnnie Walker Waitara Trophy Khalid Shemndolwa (wa kwanza kushoto) akikabidhiwa zawadi ya vikombe baada ya kuibuka mshindi. Wa kwanza kulia ni mwakilishi kutoka Resolution Insurance akifuatiwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama General Vanance Mabeyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Faraji Mnyepe, na Mkuu wa Majeshi wa Malawi Generali Vincent Nundwe
Mashindano ya Gofu ya Johnnie Walker Trophy 2020 yamehitimishwa jijini Dar es Salaam kwa washindi kukabidhiwa zawadi mbali mbali.
KIKOSI cha wachezaji wa Simba kinaanza mazoezi kesho Jumamosi kujiandaa na hatua ya...
KOCHA Msaidizi wa Klabu ya Yanga, Juma Mwambusi, ameomba kukaa kando kwa muda ndani ya...
RAIS wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Anthony Mtaka, amesema nafasi waliyopata...
SERIKALI imewaagiza Maafisa Elimu Mikoa, Wilaya pamoja na Wakurugenzi wa Halmashauri...
TUNAITAKA Yanga fainali! Kauli hiyo ni kutoka kwa baadhi ya mashabiki wa Simba...
SHULE za Sekondari 38 zimekabidhiwa vifaa vya michezo kwa ajili ya kushiriki...
WAKATI Kocha Mkuu wa Yanga, George Lwandamina akikataa kumzungumzia mshambuliaji...
TIMU mojawapo itakayokaribia kufuzu kushiriki katika mashindano ya Kombe la Shirikisho...