MICHEZO & BURUDANI »

Mshindi wa jumla katika mashindano ya Johnnie Walker Waitara Trophy Khalid Shemndolwa (wa kwanza kushoto) akikabidhiwa zawadi ya vikombe baada ya kuibuka mshindi. Wa kwanza kulia ni mwakilishi kutoka Resolution Insurance akifuatiwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama General Vanance Mabeyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Faraji Mnyepe, na Mkuu wa Majeshi wa Malawi Generali Vincent Nundwe
Mashindano ya Gofu ya Johnnie Walker Trophy 2020 yamehitimishwa jijini Dar es Salaam kwa washindi kukabidhiwa zawadi mbali mbali.
KIKOSI cha wachezaji wa Simba kinaanza mazoezi kesho Jumamosi kujiandaa na hatua ya...
KOCHA Msaidizi wa Klabu ya Yanga, Juma Mwambusi, ameomba kukaa kando kwa muda ndani ya...
WAKATI uongozi wa Simba ukiwa 'haulali' kutokana na kuhakikisha unapigania haki yao...
KATIKA kuhakikisha zinaimarisha vikosi vyao mapema kuelekea mechi za hatua ya nusu...
MRATIBU wa Mtibwa Sugar inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, Jamal Bayser, amesema...
SERIKALI imeeleza dhamira ya kushirikiana na makampuni ya kibishara na wadau wengine...
MRATIBU wa Mtibwa Sugar inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, Jamal Bayser, amesema...
BAADA ya kila timu kufahamu mpinzani wake katika mechi za hatua ya nusu fainali ya...