MICHEZO & BURUDANI »

Mshindi wa jumla katika mashindano ya Johnnie Walker Waitara Trophy Khalid Shemndolwa (wa kwanza kushoto) akikabidhiwa zawadi ya vikombe baada ya kuibuka mshindi. Wa kwanza kulia ni mwakilishi kutoka Resolution Insurance akifuatiwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama General Vanance Mabeyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Faraji Mnyepe, na Mkuu wa Majeshi wa Malawi Generali Vincent Nundwe
Mashindano ya Gofu ya Johnnie Walker Trophy 2020 yamehitimishwa jijini Dar es Salaam kwa washindi kukabidhiwa zawadi mbali mbali.
KIKOSI cha wachezaji wa Simba kinaanza mazoezi kesho Jumamosi kujiandaa na hatua ya...
KOCHA Msaidizi wa Klabu ya Yanga, Juma Mwambusi, ameomba kukaa kando kwa muda ndani ya...
BAADA ya kila timu kufahamu mpinzani wake katika mechi za hatua ya nusu fainali ya...
MECHI ya kirafiki kati ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara,Yanga dhidi ya...
Mwanariadha wa Tanzania Alphonce Felix Simbu, leo Jumapili ataipeperusha Bendera ya...
MABAO yaliyofungwa na Amissi Tambwe, Obrey Chirwa na moja tamu zaidi la mbali kupitia...
MARA baada ya Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe juzi...
CHAMA cha Darts [vishale] Mkoa wa Dodoma (Doda) kimewaomba wazazi na walezi kuwapeleka...