Muongozo wa Mechi ya Liverpool v Man United na Premier Bet

15Jan 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Muongozo wa Mechi ya Liverpool v Man United na Premier Bet

Misimu 12 imepita tangu Liverpool na Manchester United wamalize pamoja kwenye nafasi mbili za juu kwenye Ligi kuu ya Uingereza (Premier League). Wamerudi sasa kwenye viti nafasi ya juu kabisa kwenye soka la nnje (English football), ikimaanisha kwamba kuna uwezekano mpambano wa Jumapili ndo mechi-

-kubwa zaidi kwa msimu huu! PM Bet wametoa muongozo wao kwenye tukio litakalofanyika Anfield.

Liverpool anaonekana kuwa na nguvu Zaidi nyumbani

Ilikua ni mwaka 2009 ambapo pande hizi mbili zilikutana kwa mara ya mwisho juu kabisa ya jeduali. Steven Gerrard aliihamasisha Liverpool kwenye ushindi maarufu wa magoli 4-1 ndani ya uwanja wa Old Trafford, japokua ni upande wa Sir Alex Ferguson uliopewa ubingwa msimu huo. Mapambano ya hivi karibuni hayajaenda vizuri upande wa United pia. Hawakuwashinda wachezaji wa Jurgen Klopp kwa takribani miaka mitatu, wakati wenyeji wao wameshinda mapambano yote ya mwisho mawili katika uwanja wa Anfield. Ukweli ni kwamba, ni ushindi wao wa magoli 3-1 pale mwaka 2018 uliosababisha Jose Mourinho afukuzwe kazi na kubadilishwa na Ole Gunnar Solskjaer. Kama Meneja wa Norwegian na upande wake wakitaka kumaliza mbio hizo siku ya Jumapili, watahitaji kuwa katika ubora wa kiwango cha juu kabisa.

Liverpool walipoteza mechi ya ligi katika nyasi za nyumbani mwezi April 2017 – ikiwa ni mechi ya 67- bila kushindwa. Wameshinda mechi 32 kati ya mechi zao 34 za mwisho ndani ya uwanja wa Anfield kwenye Ligi ya kuu ya Uingereza (Premier League), na wamefunga jumla ya magoli 21 kwenye mechi 8 za msimu huu. Ukizingatia haya, ushindi wa nyumbani una nafasi kubwa zaidi.

Hata hivyo, wapo katika mbio dhaifu muda huu. Mabingwa hawa watawala wamepoteza mechi zao 3 za mwisho mfululizo kwenye mechi za Ligi kwa mara ya kwanza tangu mwezi May 2018. Na kinachotia hofu Zaidi, wamefunga mara moja tu katika kipindi hicho chote. Sadio Mane na Mo Salah, ambao wana jumla ya magoli 178 ya Ligi ya Uingereza (Premier League) kati yao katika kazi yao, wote wamethibitisha ni miongoni mwa wachezaji bora Zaidi Duniani. Kwa bahati nzuri, watapata muda mzuri wa kupumzika kabla ya siku ya mpambano.

United wanaendelea kuibuka

Tofauti kwa Manchester United wao watakua na siku 5 tu kati ya mechi yao ya uwanja wa Burnley na mechi ya Jumapili. Na bado pia, inaweza kua Solskjaer anataka kuendelea kucheza huku Imani ya upande wake ikiwa kubwa. Walikua ndo timu ambayo haikua katika nafasi nzuri kwenye Ligi ya Uingereza (Premier League) katika miezi miwili ya mwisho ya mwaka 2020 na, Licha ya kuondolewa na Manchester City kwenye nusu fainali ya Kikombe cha EFL wiki iliopita, hii itakua nafasi yao kubwa kushinda katika uwanja wa Anfield tangu washinde mara ya mwisho kwa miaka mitano iliopita.

Cha ajabu, pamoja na ushambulizi mkubwa unaoonekana, fixture hii hua haitoi magoli mengi; hata katika mechi 7 kati ya mechi 10 za mwisho zimetoa si Zaidi ya magoli matatu. Pamoja na pande zote kuogopa ushindani, mechi hii inawezekana kua na tahadhari kubwa kuliko tunavyotegemea?

Premier Bet inatoa ofa ya ubashiri wa soka bure - Premier 6!

Unafikiri magoli yatakuaje Jumapili? Premier 6 ni mchezo wa bure ambapo mashabiki wa mpira wa miguu wanaweza kujishindia TSH 60,000,000 pesa taslimu kwa kubashiri magoli sahihi katika fixture kubwa Zaidi ya mpira wa miguu!

Jaribu bahati yako na ujisajili na Premier Bet ili ucheze mchezo wa Premier 6 bure

Habari Kubwa