Simba yatakata Ligi ya Mabingwa

06Dec 2020
Adam Fungamwango
Dar es Salaam
Nipashe Jumapili
Simba yatakata Ligi ya Mabingwa
  • … Sasa kukutana na Platinum ya Zimbabwe

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Simba, jana ilitinga raundi ya kwanza ya michuano hiyo, baada ya kutoka suluhu na Plateau United ya Nigeria.

Habari Kubwa