Wambura kupandishwa mahakamani leo, kuachana na soka

11Feb 2019
Na Mwandishi Wetu
DAR ES SALAAM
Nipashe
Wambura kupandishwa mahakamani leo, kuachana na soka

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imethibitisha kumshikilia aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Michael Wambura kwa tuhuma za rushwa na leo itamfikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Michael Wambura.

Habari Kubwa