MKURUGENZI MTENDAJI WA DSE MOREMI MARWA AITEMBELEA IPP
Habari Zaidi
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Shinyanga Hamis Mgeja, kuanzia Mwaka (2007-2015) kisha akahamia CHADEMA na baadae kurudi tena CCM, leo amechukua tena fomu ya kuwania nafasi ya uenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, uchaguzi ambao unatarajiwa kufanyika mwaka huu, Picha na Marco Maduhu.