Halima Mdee nje jimbo la Kawe, Askofu Gwajima achukua ubunge

30Oct 2020
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam
Nipashe
Halima Mdee nje jimbo la Kawe, Askofu Gwajima achukua ubunge
  • Gwajima (CCM) apata kura 194,833 akifuatiwa na Halima Mdee (CHADEMA) mwenye kura 32,524

CCM imeendelea kuchukua ngome za upinzani Arusha, Mbeya na sasa Dar es Salaam. Askofu Josephat Gwajima ameibuka mshindi kwenye kinyang'anyiro cha kugombea ubunge jimbo la Kawe.

CCM imeendelea kuchukua ngome za upinzani Arusha, Mbeya na sasa Dar es Salaam. Askofu Josephat Gwajima ameibuka mshindi kwenye kinyang'anyiro cha kugombea ubunge jimbo la Kawe.

Jimbo hilo limekuwa ngome kubwa ya upinzani kwa dakribani miaka kumi sasa ikiwa chini ya Mbunge Halima Mdee (Chadema).

Lakini yote hayo yamebadilika sasa baada ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kawe kumtangaza Askofu Josephat Gwajima kupata kura 194,833 akifuatiwa na Halima Mdee aliepata kura 32,524. 

Majibu ya uchaguzi ugombea urais yanaendelea kutoka, usipitwe, endelea kutufuatlia: https://epaper.ippmedia.com

Habari Kubwa