NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

27Jan 2019
George Tarimo
Nipashe Jumapili
Katibu wa TSC, Winfrida Rutaindurwa, alisema hayo juzi wakati wa uzinduzi wa baraza la wafanyakazi la tume hiyo, hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa,...

AMUUA MKE WAKE KWA KUTUMIA PANNGA

27Jan 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Daudi anadaiwa kumuua mkewe baada ya kutakiwa afanye maandalizi ya kumpeleka shuleni mtoto wao, Siri Zawadi, aliyechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza. Baada ya kudaiwa kutenda mauaji hayo...

SHIRIKA LA CARE

27Jan 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Madhumuni ya msaada huo ni kushirikiana na serikali katika kupunguza vifo vya mama na watoto wachanga na kusaidia pamoja na huduma za usafiri kwa wagojwa wanaohitaji matibabu ya dharura katika ngazi...

KUKITHIRI KWA MAUAJI

27Jan 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mume kuua mkewe au  mke kumuua mumewe na mama au baba kuua mtoto  sababu  ni wivu wa kimapenzi, chuki,  kuiba fedha ambayo ni kiasi kidogo , sababu nyingine ni  kuchelewa...

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa

27Jan 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Katika kukabiliana na changamoto ya utoroshwaji wa madini nchini, Rais John Magufuli aliagiza kuanzishwa kwa masoko ya madini kwenye mikoa yote, hivyo Waziri Mkuu ameitaka Wizara ya Madini na wakuu...

SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI

27Jan 2019
Paul Mabeja
Nipashe Jumapili
Ndugai alisema hayo jana wakati akifungua semina ya wabunge juu ya changamoto na mafanikio ya sheria ya vipimo ambayo wabunge walielimishwa jinsi ya kupambana na rushwa katika vipimo. Alisema...
27Jan 2019
Mhariri
Nipashe Jumapili
Hawawezi kutumia vyoo hivyo vya kusukumwa kwa maji kwa vile yako ndani ya kisima na ili kuyapata ni lazima kutumia pampu za umeme kuyasukuma yaingie kwenye mapipa.Hali hiyo inasababisha wakose vyote...

Baadhi ya kinadada wakitafuta wateja mitaani usiku ili kuuza ngono. Biashara hii kuuza mwili ni uraibu ambao unahusishwa na matatizo ya akili. PICHA :MTANDAO.

27Jan 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
SAIKOLOJIA
“Shikamoo dokta, naitwa Shubuli (si jina halisi) nina miaka 23, Mkongo lakini naishi nchini Kuwait, nina matatizo nahitaji msaada wako”.Sikustuka kwa sababu kila siku napokea meseji...
27Jan 2019
Hamisi Nasiri
Nipashe Jumapili
Aidha,baadhi ya tani za korosho hizo zimehifadhiwa nje baada ya kukataliwa kupokelewa kwenye ghala hilo kuu kutokana na madai ya kukosa ubora hasa wa daraja la kwanza. Hali hiyo, imesababisha baadhi...

HOSPITALI YA RUFABNI MKOA WA KAGERA

27Jan 2019
Lilian Lugakingira
Nipashe Jumapili
Wananchi hao hasa kutoka tarafa za Bugabo na Kyamtwara, wamekuwa wakishindwa kuitumia hospitali teule ya wilaya, inayomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT ), Dayosisi ya...
27Jan 2019
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
 Ili kukabiliana na hatari hiyo serikali inakusudia kuwa na maabara ya upimaji na uhifadhi wa nasaba (DNA) za wanyamapori  ili kuwalinda na kuwahifadhi wanufaishe vizazi vya sasa na vijavo....

MKUU WA WILAYA YA MPWAPWA JABIR SHEKIMWERI

27Jan 2019
Renatha Msungu
Nipashe Jumapili
Shekimweri alitoa kauli hiyo wakati alipokuwa katika ziara maalum aliyoiandaa kwa ajili ya kuzungumzia maendeleo ya michezo kwenye wilaya hiyo.Alisema atahakikisha timu za Mpwapwa zinafanya vizuri...

KOCHA MKUU WA YANGA MWINYI ZAHERA

27Jan 2019
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Kocha huyo afunguka, atoa mkakati kuelekea FA Cup na mbio za ubingwa huku akieleza...
Kocha huyo amekuwa na msimamo wa kukataa kumrejesha aliyekuwa kipa chaguo la kwanza, Benno Kakolanya ambaye alitoweka baada ya kudai kushinikiza kulipwa malimbikizo ya mshahara wake, ingawa hakuweka...

Mkandarasi wa kampuni ya Meru Constructions, Ayo Jeremia (wa pili kulia) na Mhandisi wa Maji wa wilaya ya Monduli, Charles Saidea, wakiwa chini ya ulinzi baada ya kushikiliwa kwa amri ya Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Juma Aweso baada ya kubaini kuwapo kwa udanganyifu katika mradi wa Maji unaoendelea katika kijiji cha Lendenyika wilayani Monduli juzi. PICHA: MPIGAPICHA WETU

27Jan 2019
Cynthia Mwilolezi
Nipashe Jumapili
 Aweso alitoa agizo hilo jana wilayani humo wakati wa ziara yake ya siku moja na kuahidi kurejea wilayani baada ya shughuli za bunge kuisha wiki mbili zijazo, ili aweze kuonana na Mhandisi huyo...

Bodaboda

20Jan 2019
Neema Sawaka
Nipashe Jumapili
Asilimia kubwa ya waendesha bodaboda hapa nchini, wanaendesha pikipiki za matajiri na wanashindwa kujikwamua kiuchumi kutokana na mapato wanayoyapata kupelekwa kwa wamiliki.Iwapo wataanzisha vikundi...
20Jan 2019
Steven William
Nipashe Jumapili
Mtuhumiwa huyo anadaiwa kumchoma mtoto wake wa kumzaa, mwenye umri wa miaka minne (jina linahifadhiwa) ambaye anaishi naye katika kitongoji cha Ngomei Shule. Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha...

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo (wa tatu kushoto), akiongozwa na Meneja wa mgodi wa Makaa ya Mawe TANCOAL, David Kamenya (wa pili kulia), kutembelea maeneo ambapo uchimbaji wa makaa hayo unafanywa katika machimbo yaliyopo Wilayani Mbinga mkoa wa Ruvuma juzi. PICHA: WIZARA YA MADINI

20Jan 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo, alisema hayo juzi  wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli za madini mkoani Njombe na kuona namna ya kutatua changamoto  zinazohusu wizara ...

Padri Thadeus Mattowo wa Jimbo la Musoma mkoani Mara.

20Jan 2019
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Moto huo ulipokuwa unawaka, Padri huyo, Thadeus Mattowo wa Jimbo la Musoma mkoani Mara, imebainika kuwa alikuwa amelala ndani ya jengo hilo lakini mapadri wenzake walimwokoa kutoka kwenye jengo hilo...

Meneja Uhusiano wa NHIF Anjela Mziray.

20Jan 2019
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Jitihada hizo zinafanikishwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Ujerumani , uliowezesha wajawazito kupata bima ya afya ili watibiwe kila wanapohitaji...
20Jan 2019
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Katika agizo hilo anasema wakulima na wafugaji wanakosa maeneo ya kulishia  mifugo na ardhi ya kilimo kwamba ni vyema vijiji hivyo vikasajiliwa ili kuhakikisha wananchi hao wanakuwa na maeneo...

Pages