NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

25Oct 2020
Saada Akida
Nipashe Jumapili
Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu, alisema kikosi chao kilianza mazoezi jana na kila mchezaji ameahidi kujirekebisha kuelekea mchezo huyo wa raundi ya nane.Rweyemamu alisema wanafahamu kila mechi ya...
25Oct 2020
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
***Ni katika vita nyingine ya kuwania pointi tatu muhimu za Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC...
Akizungumza na gazeti hili jana, Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, alisema kikosi chake kiko tayari kwa mchezo huo na wamejipanga kuongeza umakini kutokana na rekodi nzuri na wapinzani wao msimu huu....
25Oct 2020
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Alitoa onyo hilo jana alipozungumza na waandishi wa habari mkoani hapa, zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya kufanyika kwa uchaguzi huo.Telack alisema kuna tetesi kuhusu baadhi ya vijana kutaka kufanya...
25Oct 2020
WAANDISHI WETU
Nipashe Jumapili
Mwenyekiti wa Lipuli, Ayubu Kiwele, alisema maandalizi ya tamasha hilo yamekamilika na wanawaomba mashabiki na wadau wa soka wa Iringa kujitokeza kuangalia mikakati iliyopangwa na klabu yao.Kiwele...
25Oct 2020
Adam Fungamwango
Nipashe Jumapili
Akizungumza na gazeti hili jana, Tshishimbi alisema ameamua kutia saini mkataba wa mwaka mmoja tu kwa sababu hapendi kucheza soka katika ardhi ya nyumbani kwao."Ni kweli nimesaini AS Vita ya...
25Oct 2020
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Lissu, katika mkutano wake na waandishi wa habari jana mkoani Lindi, aliekeza lawama zake hizo Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jeshi la Polisi na baadhi ya taasisi za umma, akidai zinamhujumu. Hata...
25Oct 2020
Joseph Kulangwa
Nipashe Jumapili
Na mpaka sasa baadhi yenu pamoja na kubalehe na kuvunja nyungo, hamjui hata lugha za baba na mama zenu, mnazungumza Kiswahili na kuokoteza neno moja moja la kilugha kutoka kwa wazazi hao. Sana sana...
25Oct 2020
Lilian Lugakingira
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Revocatus Malimi, alisema gari hilo aina ya TATA, lenye namba za usajili T670 DKL, lilipata ajali jana saa 4:00 asubuhi baada ya kupata hitilafu katika mfumo wa...
18Oct 2020
Nkwazi Mhango
Nipashe Jumapili
Katika maadhimisho ya kuondoka kwako baba, leo nina machache ya kukueleza kama ifuatavyo:Mosi, tangu uondoke, taifa letu limebadilika sana. Nakumbuka wakati ukitutoka, ulimuacha kijana wako, ambaye...
18Oct 2020
Joseph Kulangwa
Nipashe Jumapili
Mnakumbuka tulivyotumbuka macho baada ya kusikia umeingia nchini na watu wanaaga dunia? Mnakumbuka tulivyofokewa kwa kutovaa barakoa? Mnakumbuka tulivyofakamia malimao na kutafuna tangawizi kama...
18Oct 2020
Saada Akida
Nipashe Jumapili
Dube ambaye anaongoza katika kupachika mabao kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, akifunga magoli sita, ameanza kuwindwa na timu mbalimbali baada ya kuonyesha kiwango kizuri kwenye mechi zote sita...
18Oct 2020
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Amesema kuna haja wananchi kutumia siku 10 zilizobaki kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu, kujipanga kuchagua rais atakayewapa uhuru wa kumkosoa.Lissu aliyasema hayo jana wakati akizungumza na...
18Oct 2020
Gwamaka Alipipi
Nipashe Jumapili
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Humphrey Polepole, aliyasema hayo jana jijiji Dar es Salaam, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mambo mbalimbali.Polepole alisema kuwa Oktoba...
18Oct 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi na Utekelezaji wa Sheria na Masharti ya Leseni, Dk. Philip Filikunjombe, alibainisha hayo jana wakati akizungumza katika mkutano wa wadau wa habari na wanachama wa Chama...
18Oct 2020
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Mjumbe wa tume hiyo, Asina Omary, alitoa kauli hiyo alipofungua mafunzo kwa watazamaji wa ndani wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28 mwaka huu kutoka Kituo cha Kimataifa cha Sera barani...
18Oct 2020
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
*Husababisha maradhi mengine *Muhimbili watibu watano kila wiki *Madaktari bingwa wataja chanzo *Matibabu yahusisha kukata utumbo
Wataalamu wa masuala ya tiba za binadamu wanauita 'Hisrschospron’s desease'. Ni ugonjwa usiofahamika kwa watu wengi, lakini madaktari bingwa wanabainisha kuwa unawakabili watoto wengi...
27Sep 2020
Joseph Kulangwa
Nipashe Jumapili
Naye akiitikia “marahabaa hamjambo wanafunzi?” Nasi kumjibu “hatujambooo!” Na kuturuhusu tukae na kuendelea na masomo, huku mwalimu wetu naye akimkaribisha kwa unyenyekevu...
27Sep 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari jana Septemba 26,2020, Mwenyekiti wa kamati hiyo ambae pia ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum amesema kama vitendo hivyo vitafumbiwa macho...
14Sep 2020
Joseph Kulangwa
Nipashe Jumapili
Sote tuliitana ndugu na kuheshimiana kwa kuzingatia umri na jinsi. Ndiyo kama ulivyokuwa mfumo dume, watoto wa kiume tuliheshimiwa na kunyenyekewa na wale wa kike. Amini usiamini, dada mkubwa...
14Sep 2020
Nkwazi Mhango
Nipashe Jumapili
Mgombea fulani alisikika akilalamikia kuanzishwa mbuga ya wanyama mkoani Geita kiasi cha kuigeuza sera. Jamani, kama hamna cha kumpinga Rais John Magufuli heri mjinyamazie kuliko kujiaibisha. Jamaa...

Pages