NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

Profesa Makame Mbarawa.

17Apr 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Pia amesema kampuni ambazo zinatoa huduma za mawasiliano lakini zinadaiwa kodi na Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), yalipe mara moja kabla ya kuchukuliwa hatua kali. Mbarawa alitoa kauli hiyo jana...

Maalim Seif Sharif Hamad.

17Apr 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Maalim Seif atahojiwa na taasisi hiyo kufuatia madai aliyotoa hivi karibuni kuwa kuna viongozi wa Serilai ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), wanaomiliki fedha chafu nje ya nchi. Akizungumza na Nipashe...
17Apr 2016
Renatha Msungu
Nipashe Jumapili
Kiluwa inatarajia hadi kufikia mwakani wawe wamekamilisha hatua hiyo, na uzalishaji uanze mara moja,ili kupunguza gharama za ununuaji wa nondo zinazotoka nje ya nchi kwa ajili ya matumizi mbalimbali...

mkurugenzi mkuu tma, dkt. agnes kijazi.

17Apr 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Maeneo mbalimbali nchini yanapata mvua zinazowezesha wakulima kupanda mazao, pia zinapunguza joto na kupoozesha hali ya hewa mathalani jijini Dar es Salaam na mikoa mingine yenye hali ya joto kama...
17Apr 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Mwenyekiti wa PAC, Aeshi Hilaly mapema mwezi huu aliagiza Jeshi la Polisi kuwasilishwa mbele yake mkataba kati yake na Kampuni ya Lugumi Enterprises kuhusu mradi wa utambuzi wa alama za vidole (AFIS...

mashabiki wa simba.

17Apr 2016
Renatha Msungu
Nipashe Jumapili
Mechi hiyo pekee kwenye ratiba ya ligi leo, itapigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kabla ya matokeo ya mechi nyingine za mwisho wa wiki hii, Simba ilikuwa kileleni kwa tofauti ya pointi...

Aeshy Hilaly.

17Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mkataba huo wenye thamani ya Sh. bilioni 37 ni wa mradi wa utambuzi wa alama za vidole (AFIS.) Taarifa ya Bunge iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano juzi ilisema kuwa PAC haikuwa imeomba mkataba...

msemaji wa CCM, Christopher ole Sendeka.

17Apr 2016
J.M. Kibasso
Nipashe Jumapili
Akiwa na wageni wake hao, pamoja na mambo mengine, Lowassa alizungumzia uongozi wa Rais John Magufuli na kutoa maoni yake. Alisema: “Hali ya hivi sasa nchini ni ya hamasa kutokana na serikali mpya...
10Apr 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
kutoka bandari kavu (ICD) bila kulipa tozo ya Mamlaka ya Bandari (TPA). Akizungumza na Nipashe, Kamishina wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro alisema jana kuwa upelelezi dhidi ya...
10Apr 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Nikasema kwamba, hata kama mwanaume akiwa mtu mkuu sana katika maisha yake, lazima ajue kuwa kuna wakati alikuwa kichanga katika tumbo la mwanamke. Shetani anajua kuwa mwanamke anatawala/...

Waziri wa afya, Ummy Mwalimu

10Apr 2016
Nebart Msokwa
Nipashe Jumapili
Mwalimu alitoa agizo hilo jana mkoani Mbeya wakati alipokuwa akizindua duka la Bohari ya Madawa (MSD) na ghala la kuhifadhia dawa, lililofunguliwa mkoani Mbey. Waziri alisema kuhujumiwa...
10Apr 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Wiki iliyopita mtaalamu alianza kuelezea maana ya vidonda vya tumbo na jinsi vinavyomshambulia mgonjwa. Alikumbusha kuwa vidonda hivi vina maumivu makali na vinatokea kwenye ukuta wa ndani wa...

frederick sumaye

10Apr 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Nipashe imefanikiwa kuona tangazo hilo ambalo limeandikwa kwa maneno yenye rangi nyeusi na nyekundu yanayosomeka: Eneo hili ni la shule, zahanati, eneo la wazi kwa ajili ya wananchi wa Kinondoni ni...

Rais wa zanzibar dk ali mohamed shein

10Apr 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Matumaini ya wananchi ya kuondokana na matatizo hayo yalianza kufufuka baada ya iliyokuwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) kutunga sheria mbili ikiwamo ya kuanzisha mamlaka ya kupambana na rushwa...
10Apr 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Na wakati kampeni ya kuwabaini watumishi hewa hao ndani ya serikali ikichukua sura mpya bada ya kuanza kwa uchunguzi wa kuwabaini wanufaika halisi na kuwachukulia hatua za kisheria, imebainika kuwa...

mchezaji wa yanga, Ngoma akipamna na wachezaji wa Al Ahly

10Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
***Sare dhidi ya Al Ahly imewaweka wawakilishi hao wa Tanzania kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye nafasi ngumu kusonga mbele...
Matokeo hayo yana maana, sasa lazima Yanga washinde mchezo wa marudiano utakaochezwa wiki mbili zijazo nchini Misri. Katika mechi hiyo iliyojaza watazamaji wengi, Yanga ilishindwa kabisa kupenya...

Rais wa Marekani, Baraka Obama

10Apr 2016
J.M. Kibasso
Nipashe Jumapili
Umoja wa Ulaya (EU) pia uliibuka na kutangaza nia ya kufuta msaada wa Dola milioni 622, karibu Shilingi trilion 1.36 za msaada kwa Tanzania. Ilielezwa kuwa EU inataka kufuata nyayo za...
10Apr 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Meya huyo akasema kuwa amelazimika kumuonya Makonda kutokana na tabia ya kutafuta sifa ili aonekane mchapakazi, hali ya kuwa anadandia yasiyomuhusu. Akasema kuwa ma-DC nchini wana majukumu...

kosovo

10Apr 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
MWANAMUZIKI Ndanda Kosovo (44), amefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Ndanda aliyekuwa maarufu kwa jina la 'Kichaa' au 'Mjelajela" alipata umaarufu akiwa...

balozi mahiga

10Apr 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe Jumapili
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dk. Augustine Mahiga aliyasema hayo wakati akizungumza na Nipashe kuhusu nini kinaendelea katika mgogoro huo. Dk....

Pages