NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

Daudi Mikidadi kushoto akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuruhusiwa kurudi nyumbani, kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma wa MNH, Aminiel Aligaesha.

06Sep 2020
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma wa MNH, Aminiel Aligaesha, amewaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuwa, kijana huyo baada ya kupokelewa Muhimbili alikaa kwenye chumba...
06Sep 2020
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili
Hayo yalizungumzwa leo na Kaimu Katibu Mkuu wa THTU, Elia Kasalile kwenye ufunguzi wa mkutano mkuu wa sita wa chama hicho uliofanyika mkoani Mwanza ambapo wanachama takribani 120 wa chama hicho...
06Sep 2020
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi hao jana,  Meneja wa Mpango wa Taifa wa Chanjo, Dk.Dafrosa Lyimo alisema lengo la mafunzo hayo ni kutoa taarifa sahihi kwa wanahabari kuhusiana na huduma za chanjo...

Mgombea Ubunge Jimbo la Dodoma mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Anthony Mavunde.

06Sep 2020
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Akizungumza na wananchi wa jimbo hilo, kwenye viwanja vya shule ya msingi Chang’ombe, Mavunde jana amesema miaka mitano ya kwanza ambayo wananchi wameshuhudia Dodoma ikikua kwa kasi ilikuwa ya...
06Sep 2020
Elizaberth Zaya
Nipashe Jumapili
Tukio hilo lililoambatana na uzinduzi wa ilani ya uchaguzi ya chama hicho iliyopewa jina la ‘Mwafaka wa Kitaifa’, lilifanyika kwenye Viwanja vya Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam jana. Katika...
06Sep 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Na Joseph Kulangwa Nakumbuka sana, hata kula haikuwa ishu kwa sababu chakula ndani kilikuwa chapwa na hata mashambani mambo hayakuwa mabaya, hivyo hakukuhitajika sijui fweza kwenda kununua chakula...
06Sep 2020
Saada Akida
Nipashe Jumapili
Akizungunza na waandishi wa habari jana, Mo alisema kuwa walikaa kwenye kikao cha bodi na kumteua Barbara kuziba nafasi ya aliyekuwa mtendaji mkuu wa timu hiyo, Senzo Mazingiza. Mo alisema kuwa...
06Sep 2020
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Pia, amesema atanunua magari ya wagonjwa na kuyasambaza jimboni ndani ya siku 90 baada ya kuchaguliwa, akitamba kuwa hahitaji kusubiri bajeti ya serikali. Askofu Gwajima alitoa ahadi hizo juzi...
06Sep 2020
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
***Kipyenga chapulizwa leo, viwanja vyarindima, timu zajivunia vikosi huku...
Simba itashuka dimbani ikiwa na morali ya hali ya juu, ikitaka kuendeleza mbio zake za ushindi baada ya kutoka kutwaa Ngao ya Jamii kwa kuifunga Namungo FC mabao 2-0 kwenye mechi hiyo ya kufungua...
06Sep 2020
Nkwazi Mhango
Nipashe Jumapili
Kabla ya kuzama kwenye mada ya leo, tuwakumbushe wasomaji wetu wa siku nyingi:Tumerejea kwa kishindo baada ya miaka kama miwili ya kutokuwa hewani. Pia tunatoa salamu za rambirambi kwa taifa na...
06Sep 2020
Mhariri
Nipashe Jumapili
Katika kipindi chote hicho, wasomaji wetu walikosa uhondo waliokuwa wakiupata hatua ambayo ilisababisha wengi wao kuhoji kulikoni mpaka ukafikiwa uamuzi wa kulisimamisha gazeti hilo.Pamoja na kuhoji...
06Sep 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Na Magambo Masambu Historia inaonyesha kwamba kabla na baada ya Uhuru, Tanzania imeongoza harakati za ukombozi barani Afrika na hasa nchi zilizoko Kusini mwa Afrika kuhakikisha zinapata uhuru wa...
06Sep 2020
Lilian Lugakingira
Nipashe Jumapili
Akizungumza wakati wa kukitambulisha rasmi kikosi cha timu ya Kagera Sugar, Gaguti alitangaza uwanjwa wa Kaitaba kuwa machinjio ya timu zote zitakazofika mkoani Kagera kucheza na timu hiyo."...

Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere, akisalimiana na Mgombea
Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho, Dk. John Pombe Magufuli, wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi mkuu katika uwanja wa Mkendo, mjini Musoma, Mkoa wa Mara jana. PICHA: IKULU

06Sep 2020
Gwamaka Alipipi
Nipashe Jumapili
Amesema hakutekeleza ahadi hiyo katika kipindi cha miaka mitano ya utawala wake kwa kuwa alitaka kukamilisha kwanza baadhi ya mambo muhimu ya kitaifa ikiwamo ujenzi wa hospitali, zahanati, huduma ya...
06Sep 2020
Adam Fungamwango
Nipashe Jumapili
Mwenyekiti wa Waamuzi, Sudi Abdi amesema kuwa wameshajipanga kuhakikisha wanapunguza matatizo yale yaliyokuwa wanajitokeza siku za nyuma na kuwatoa shaka mashabiki wa soka nchini kutarajia...
06Sep 2020
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Vilevile, chama hicho kimeahidi kujenga daraja kutoka Dar es Salaam hadi Zanzibar ili wananchi waachane na usafiri wa meli na boti ambao kimesema siyo rafiki kwao. Jana, katika uzinduzi wa...

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akiwapungia mkono wanachama na wafuasi wa chama hicho, alipowasili katika viwanja vya Nzovwe, jijini Mbeya jana, kwa ajili ya mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi mkuu. PICHA: NEBART MSOKWA

06Sep 2020
Nebart Msokwa
Nipashe Jumapili
Lissu alitoa ahadi hiyo jana kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe jijini hapa wakati wa mkutano wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho Kanda ya Nyasa, akiahidi kujenga maeneo maalum kwa ajili ya shughuli za...
06Sep 2020
Adam Fungamwango
Nipashe Jumapili
Kuna sehemu watoa huduma hizo kama vile takatata, wanatoza pesa kwa nyumba, huku wengine wakitoza kila chumba. Kuna watu wamekuwa wakipita kwenye makazi ya watu ukusanya fedha hizo kila mwezi. Hii...
06Sep 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Lakini pia kipindi hiki ni mahususi kwa wapigakura kutumia sanduku la kura kuwazawadia wanasiasa waliofanya vizuri na kuwaadhibu walioshindwa kutekeleza ahadi zao kutokana na kuchaguliwa kwao....
06Sep 2020
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
*Mtaalamu wa MOI atoa angalizo, *Afichua wachuaji wengi hawana...
Massage kwa sasa ni moja ya huduma ambazo zimeshamiri maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, hususan kwenye saluni za wanaume na wanawake.Hata hivyo, uchunguzi wa Nipashe jijini uliohusisha...

Pages