NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

20Mar 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Katika hali ya kawaida, ngozi ya binadamu huhifadhi kiasi kidogo cha fangasi hawa huzinufaisha pande mbili ambazo ni mhusika pamoja na wadudu wenyewe kila upande unapata faida kutoka kwa mwenzake....
20Mar 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Katika maagizo hayo, Rais aligusia mambo mengi ambayo yanapaswa kutekelezwa na wakuu hao wa mikoa ikiwamo kushughulia tatizo la wafanyakazi hewa kwenye Halmashauri zote nchini. Lakini leo nataka...

Waziri wa Fedha Dkt. Phillip Mpango kushoto.

20Mar 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Aidha, mpango huo utatekelezwa na idara pamoja na taasisi nyingine za serikali ikiwamo Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Jeshi la Polisi, Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) pamoja na Chama cha...
20Mar 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Matokeo hayo, yanaipa tiketi Yanga kucheza hatua inayofuata kwa jumla ya mabao 3-2, wakishinda mchezo wa kwanza ugenini 2-1. APR iliing'oa Yanga katika hatua kama hiyo miaka 20 iliyopita,...
20Mar 2016
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Aliieleza Nipashe jana jijini Dar es Salaam kuwa, serikali haikuwa na uataribu huo ingawa wazo la kuanzisha chombo hicho ni zuri. “Hatuna hicho chombo lakini wazo lako ni zuri tutalifanyia kazi na...

Dk. Pascal Waniha.

20Mar 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Katika taarifa yao waliyoisambaza jana kwenye vyombo vya habari, TMA ilikanusha uvumi wa kwenye mitandao ya kijamii uliodai kiwango cha juu cha nyuzi joto leo kitafikia nyuzi joto 40. Aidha, Kaimu...

timu ya azam.

20Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
Azam ambao wamepoteza mechi moja tu katika mashindano yote ya kimataifa waliyoshiriki msimu huu, wanapewa nafasi kubwa ya kutinga raundi ya pili ya michuano hiyo baada ya kushinda 3-0 katika mechi ya...

twiga stars.

20Mar 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Mechi kati ya Chad na Taifa Stars itafanyika Jumatano Machi 23 na marudiano Machi 28 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Akizungumza na gazeti hili jana, kocha mkuu wa Taifa Stars, Boniface...

HAMIS KIIZA

13Mar 2016
Adam Fungamwango
Nipashe Jumapili
Alhamisi iliyopita, Simba iliichapa Ndanda FC mabao 3-0, Kiiza alifunga magoli mawili na kufikisha idadi hiyo na kumzidi Amiss Tambwe wa Yanga mwenye magoli 17. Kwa idadi hiyo ya magoli, ina maana...

Mhandisi Felchesmi Mramba

13Mar 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo, Mhandisi Felchesmi Mramba, wakati Mamlaka ya Huduma za Nishati na Maji (EWURA), ilipowasilisha kwa wadau mapendekezo ya...

Dickson Maimu

13Mar 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Wafanyakazi wengine wa Nida ambao walisimamishwa katika sakata hilo ambao na wenyewe wanachunguzwa na Takukuru ni aliyekuwa Mkurugenzi wa Tehama, Joseph Makani, Ofisa Ugavi Mkuu, Rahel Mapande,...
13Mar 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Aidha tulijifunza kuwa chanzo cha UTI ni maambukizi ya mfumo wa mkojo katika sehemu ya mwili ambayo mkojo hupitia na kwamba ugonjwa huo huweza kumpata mtu endapo hali mbalimbali zitajitokeza, ikiwemo...

RAIS WA ZANZIBAR DK ALI MOHAMED SHEIN

13Mar 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Matukio ya kuchomwa moto maskani hizo na kituo cha afya yalifanyika kwa nyakati tofauti usiku wa kuamkia jana katika mikoa miwili ya Kaskazini na Kusini Pemba. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini...

Jaji Mkuu Othman Chande

13Mar 2016
Efracia Massawe
Nipashe Jumapili
Akizungumza na gazeti hili jijini Dar es Salaam juzi, Mwenyekiti wa TLS, John Sweka, alisema kila sekta inataratibu zake na kwa mawakili, jitihada za kubaini wageni hao zinategemea mchango wa Jaji...
13Mar 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Mfano wa matukio kama hayo, hujitokeza maeneo yenye mikusanyiko ya watu, kama sokoni, vituo vya mabasi na mengine kunakofanyika shughuli za kijamii. Katika tukio ambalo nimewahi kulishuhudia ni la...

MABASI YAKIWA KATIKA KITUO CHA MABASI UBUNGO

13Mar 2016
Nipashe Jumapili
Hata hivyo wakati mwingine wasafiri hulazimika kulala barabarani, kwani iko mikoa ambayo safari huchukua zaidi ya siku moja kutokana na sheria, kanuni na taratibu za kulinda usalama zilizowekwa na...

Wachezaji wa Yanga

13Mar 2016
Lasteck Alfred
Nipashe Jumapili
***Yalitkisha jiji la Kigali kwa ushindi mzuri Ligi ya Mabingwa Afrika.
APR iliiondoa Yanga kwenye mashindano hayo hatua ya awali kwa kuwanyuka mabao 3-0 katika mechi ya kwanza, Kigali kabla ya wanajangwani kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa marudiano kwenye...
13Mar 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Mmoja wa wafanyakazi hao, Mpaji Isaya aliiambia Nipashe jana kuwa, waliambiwa wafike kuchukua barua hizo jana, ili kuthibitisha rasmi kufutwa kwa mikataba yao. “Baada ya kutangaziwa na Kaimu...
13Mar 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Inashangaza kuona kuwa wapo wanaochekelea wakisikia fulani kafa. Kuna wengine wanaandaa hata karamu na kujifurahisha wanapotaarifiwa kuwa jamaa wanayemfahamu anaumwa ama amefikwa na tatizo. Inafika...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

13Mar 2016
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
KUKOSA TAASISI Hili lilishazungumzwa vya kutosha kwenye makala za zilizochapishwa na safu hii zilizokuwa zinajadili kasi bila kujua tuendako ni hatari. Kwa wale ambao hawakuzisoma makala kwa...

Pages